Mwalimu huyu anambeep Rais Magufuli?

Mwalimu huyu anambeep Rais Magufuli?

Ninachokiona hapa ni walimu wawili wenye ugomvi wa kugombea wanafunzi..aliyeporwa mwanafunzi ndiye ameamua kuja kumtibulia mwenzake afukuzwe ili abaki akijilia mwenyewe!!
 
Ulivyompig picha ulimwambia ni zakuanzishia thread huku jf? mana inawezekana lengo lako umharibie!!umbea ilivyokujaaa uliendea nin wew baaa sa tano ? au ndo meneja wa baa ?co kila ukionacho inapost mvuuuuu
 
Anambeep kivipi?
Ukiskia habari za uchochezi ndio hizi mwanafunzi anaweza kuwa na muonekano huo acheni kutumia mitandao vibaya nilishawai kusema humu jf wamejaa wachawi mchawi sio paka ashike tunguli ila humu khaa mijitu imezidi jamani watu wanawaza wengine wafukuzwe kazi ili tu mfurahie nahio ndio sifa ya wachawi kuharibu
 
bado tunahakikiwa wacha tugonge vyombo mana salary hakuna uhakika wa kulipata.
 
sio mfanyakazi lazima afanye kazi siku ya kazi wengine wana ruhusa ,au dharura
 
Kuna watu wanapenda kuharibia wenzao.Mbona huyo binti haonekani?tutakuaminije au umbea
 
Back
Top Bottom