HahahaModerator huyu mleta mada Ana chuki tu atujui hii picha imepigwa SAA ngapi huku ni kuchafuana jf haipo kwa ajili ya kuchafuana
Yupo bar na mwanafunzi wake wa kidato cha tatu, Kibo pub - Igunga , anafundisha nguvu
moja sec - Igunga.
Tangu saa 5 asubuh wanakula mvinyo
View attachment 370768View attachment 370769View attachment 370770
Labda ndo raha yake, mshahara wenyewe wanalipwa kidogo, halafu wanadharaulika acha ajilie kilaji kama ni muda wa mapumzikosiku gani wapi au unataka mtu afukuzwe kazi tu
Unajuaje kama mtoto wake auWe unaona sahihi mwalimu kukaa na wanafunzi wake wa kike bar mda huu, siku ya kazi , wanapiga mvinyo
unafiki utakuloteza mkuuYupo bar na mwanafunzi wake wa kidato cha tatu, Kibo pub - Igunga , anafundisha nguvu
moja sec - Igunga.
Tangu saa 5 asubuh wanakula mvinyo
View attachment 370768View attachment 370769View attachment 370770
Kwa hyo umekuja spidi humu ukajisajili JF uje kutupa huo uharo wako? chunga utaolewa weweYupo bar na mwanafunzi wake wa kidato cha tatu, Kibo pub - Igunga , anafundisha nguvu
moja sec - Igunga.
Tangu saa 5 asubuh wanakula mvinyo
View attachment 370768View attachment 370769View attachment 370770