Mwalimu huyu anambeep Rais Magufuli?

Mwalimu huyu anambeep Rais Magufuli?

Huyo nae atakuwa n mwalimu kwa kuwa walimu tunawajua mnatembea na wanafunz, isitoshe umezidiwa kete kwa mwanafunz na huyo mwalimu, pia umekosa hata ushahidi wa kimazngira maana hakuna sura ya mwanafunz katika picha zako zote.
 
Sasa hapo mwanafunzi wa kidato cha tatu ni yupi? Aliesimama au aliekaa?? Maana wote wanaonekana kuwa ni watu wazima
haha na shangaa eti anatamani angekuwa bint yangu mie naona watu wazima wawili mh
 
Mi nafikiri ingekuwa busara kama angemfuata moja kwa moja na kumwambia huu ni muda wa kazi, si vizuri kupiga mvinyo na huyo mwanafunzi wake sasa anapomuanika humu kwenye Forum unataka iweje ? Nyie walimu jamani ?
 
Hapo hakuna form three hata mmoja, wote ni vijeba vilivyokomaa
 
Back
Top Bottom