Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,917
- 2,547
Ili tukimuona tumkimbie au sioRIP Mwalimu,
Tunahitaji picha ya huyo muuaji ili tujihami naye
Ili tukimuona tumkimbie au sioRIP Mwalimu,
Tunahitaji picha ya huyo muuaji ili tujihami naye
Siungi mkono kitendo hicho but for the one who have gone through segregation can understand how it feelsMtihani wa darasa la kwanza..🤔🤔
uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea. 🤔🤔
Hatari sana, watoto wanafundishwa na watu wa ajabu ajabu.. matokeo tunazalisha watu wa ajabu ajabu.. walimu walikuwa enzi za mwalimu