TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

Duuh Tanzania kama tupo Athlone Cape Town aisee tena huko pana West Coast na East Coast ukiwachanganya na hao PAGAD ndio kabisaa eneo halitawaliki...
Chief

Hao ni wabantu Kwa wabantu au na mkaburu,ebu nipe elimu kidogo nijifunze kitu
 
Chief

Hao ni wabantu Kwa wabantu au na mkaburu,ebu nipe elimu kidogo nijifunze kitu
Hao East na West ni wauza sembe Coloured na hao PAGAD ndio warangi warangi wale Muslim wenye misimamo mikali wakiwalinda Raia wa huko kwa kuchangia ili wasifanywe kitu chochote na matukio ya kihalifu huko Cape Stad..na hao East na West wapo maeneo karibu tuu wanatofautina ishara zao na wana namba wengine wanajiweka matatoo kutofautina huwa vita yao wanarushiana risasi kama mawe na mara nyingi vifo hutokea sasa hivi wamejiingiza kwenye kuiba hela zinazosarishwa na makampuni au gari zinazoshusha mizigo inayotumwa kama posta wao wanaliteka na kuchukua parcel zote hasa wakipewa taarifa ya Cargo zilizopo humo...Hanover park yapo maeneo ambayo East au West haruhusiwi kupita for life akipita na gari anauawa...
 
Kanda Ile sitosahau..... Kuna mkoa Fulani nilikuwa napiga kazi wakawa wananiita Mnyangara(mgeni) ndani ya nchi yangu
Sio uko tuuuu hio ipo sana kwenye jamiiii au watu ambao wamezaliwa nakukuua sehemu mmoja.
 
Hao East na West ni wauza sembe Coloured na hao PAGAD ndio warangi warangi wale Muslim wenye misimamo mikali wakiwalinda Raia wa huko kwa kuchangia ili wasifanywe kitu chochote na matukio ya kihalifu huko Cape Stad..na hao East na West wapo maeneo karibu tuu wanatofautina ishara zao na wana namba wengine wanajiweka matatoo kutofautina huwa vita yao wanarushiana risasi kama mawe na mara nyingi vifo hutokea sasa hivi wamejiingiza kwenye kuiba hela zinazosarishwa na makampuni au gari zinazoshusha mizigo inayotumwa kama posta wao wanaliteka na kuchukua parcel zote hasa wakipewa taarifa ya Cargo zilizopo humo...Hanover park yapo maeneo ambayo East au West haruhusiwi kupita for life akipita na gari anauawa...
Chief

Shukrani hakika sijajutia kukuuliza swali,nimepata ufahamu mkubwa juu ya hivyo vikundi
 
Naunga mkono serikali iache kuajiri walimu wa certificate, wengi hawana exposure isipokuwa inferiority complex imewajaa.

Walim wenye asili ya Kanda ya ziwa wengi wanaongoza Kwa changamoto hizo hapo juu na pia hawaamin Katka uwezo wao. Ukimkosoa unakuwa adui yake.

Good example ni the late JPM ,, huyu alikuwa mwalim kutoka Kanda ya ziwa, alikuwa na exposure ndogo, hakuwa akiamin ktk uwezo wake na ole wako umkosoe.

Ukitaka kuwaelewa walim wenye asili ya Kanda ya ziwa basi look to their model JPM . Kukuua bila 7bu ya msingi hawaoni kaz muulize Lisu
 
GEITA.

Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.

Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake.

Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha.

Haijajulikana Kwa yakini sababu zilizopelekea kutoka Kwa tukio Hilo.

Hapa Chini ni picha ya marehemu Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.

So sad!

mpwayungu village Mshana Jr
Kwa namna anavyoonekana itakuwa ni wivu wa kimapenzi, kugombea mademu
 
Kanda Ile sitosahau..... Kuna mkoa Fulani nilikuwa napiga kazi wakawa wananiita Mnyangara(mgeni) ndani ya nchi yangu
ukienda Bukoba utaitwa 'mnyamahanga'.Nadhani Ni kila ardhi Ina jina lake ndiyo maana tulipokuwa chuo tuliwaita wanafunzi kutoka nje 'foreigners' ukienda tu hapo bondeni utaitwa "amakwerekwere'
 
ukienda Bukoba utaitwa 'mnyamahanga'.Nadhani Ni kila ardhi Ina jina lake ndiyo maana tulipokuwa chuo tuliwaita wanafunzi kutoka nje 'foreighners' ukienda tu hapo bondeni utaitwa "amakwerekwere'

Ukiwa mbeya ni mgeni utaitwa bhajanga, ukiwa moshi utaitwa chasaka, mambo ya ajabu kweli kweli, ukiwa marekani utaiwa african american,
 
Means wewe it's ok kusikia na kuona picha za baba ,mama,dada etc kwenye social networks siku wakifa?,sikulaumu matokeo ya kuishi ni pithole country, issue kama hii sherrif anakuja kwenye address ya next of kin na kumpa taarifa, sio kama mtoa mada hii alivyofanya
Uko sahihi kabisa mkuu.

Sent from my Nokia 1.4 using JamiiForums mobile app
 
Chief

Shukrani hakika sijajutia kukuuliza swali,nimepata ufahamu mkubwa juu ya hivyo vikundi
Na hao jamaa na vikundi vyao wakiwa jela wanaishi hivyo hivyo...sasa huko wanapeana namba 26,28 na ili kutambuana kila mtu amejikaririsha salamu za kijinga tuu...hao jamaa kuuana ni ishu ndogo muda mwingine wanagombea kumiliki eneo jipya ili wauze sembe...
 
Back
Top Bottom