Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
jamani mbona wanipa rahaaaaaaaaaaaaaaaaa yani huu ni utamu haswaaaaaaaaaaaaagfsonwin sherehe mbona imefana nimemwambia Bishanga ambaye yupo marekani kwenye kampeni za obama alete jet yake itakayomchujua mwali kutoka home mpaka airport kutoka hapo atakuja na kijiko (Gari la kutengeneza barabara) litapambwa kinoma driver atakua Erickb52 lakini anaweza kumtorosha Kongosho ataendesha wanawake tunaweza waliobaki karandinga zinawahusu experience the difference.Karucee njoo na valuu moja kwa ajili ya mwali
pana chezeya sisi!
tukishamaliza unyago wa kibantu,na kipwani tunahamia wa kiajemi!kisha twampa wa kihispaniola mbona huyo shemegi atajing'ataaa!:tongue::tongue:
du! haya basi, sasa tumeongezewa mtu?dada mkubwa mi nakwambia nahisi nimehamishwa kitengo sijui!manake nahisi madame gfsonwin kanifanyia reshafo!
ulikuwa mkunga wewe ama ................ kadi lake la klinik unalo wewe
Hvi kumbe hata vikongwe huwa wanafanyiwa vitchen party? Jamani mi najua kuwa Madame B ana miaka 70+. Imekaaje hyo? Hayo ni matumiz mabaya ya hyo shughuli
acha uuzushi kabisa utasutwa wewe mchana wa jua kali shaurilo babu wee au wataka tukuveshe shafuo???????????????
tatizo ulionipanga nao wote masista duu....... muda hawana mpango nao, au sijui hatukuelewana nao pa kukutana!uko sahihi ma dearest, kazana mchana ndo huu ivo
ulikuwa mkunga wewe ama ................ kadi lake la klinik unalo wewe