mwaliko ya kitchen party kumfunda mwali wetu madame B.

madameB ninayemfahamu yuko na Arushaone babati kwenye msiba wa mjomba.labda unaongelea mwali mwingine.

Mam'kwe nakuja kukujibu tu afu narudi chumbani.
Me niko Ndani nina Machicha ya nazi + Pumba mbichi mwili mzima.
Sasa unaposema niko Babati na Arushaone unajua unanitafutia ubaya kwa Kungwi na Somo wangu gfsonwin bila kuwasahau akina snowhite na cacico na wenzake wenye majukumu ya kuniweka vi-Mbakati chini ya tumbo, na ki-gedahri Kiunoni?
 
Last edited by a moderator:
kwani watukufunza nini tena wakati ushajua kupika na kupakua.
Mam'kwe nakuja kukujibu tu afu narudi chumbani.
Me niko Ndani nina Machicha ya nazi + Pumba mbichi mwili mzima.
Sasa unaposema niko Babati na Arushaone unajua unanitafutia ubaya kwa Kungwi na Somo wangu gfsonwin bila kuwasahau akina snowhite na cacico na wenzake wenye majukumu ya kuniweka vi-Mbakati chini ya tumbo, na ki-gedahri Kiunoni?
 
Nimekufuatilia kwa muda mrefu sana wewe,unamwitaje ubavu wangu hilo jina?tafadhali kama vile ulivyotangaza hadharani nhitaji uombe radhi hadharani,,mamii madame B nimemtuma dereva wa limousine aje kuwachuckua muende mlimani city nimekuchukulia mkufu wa madini ya tanzanite
75%,itabidi uende na kungwi wako nimempa laki 6 akachukue na yeye nguo ambayo itakuwa ni wedding colour,halafu wakumbushie watu colour of the wedding

Hvi kumbe hata vikongwe huwa wanafanyiwa vitchen party? Jamani mi najua kuwa Madame B ana miaka 70+. Imekaaje hyo? Hayo ni matumiz mabaya ya hyo shughuli
 
Last edited by a moderator:
mi nafikiri Kaunga hapa inabidi ahusike,tena ufanye kumpigia simu aufanye mwepesi kidogo bila kusahau wakati wa kunywa mwali mwalikwa wetu anuize kabisa huku akitupia punje za tende na aumiminie asali !ili aonjwappp awe ladha ya wa asali ya nyuki wadogo!
halula!

Nini kinaendelea hapa?
Ngoja nijifamilialize kwanza halafu nitarudi. LOL
 
Werawera! Kesho lazima nitie timu na nitakuja nikiwa nimevaa ki-kike kwa kuwezeshwa na mwenzenu mmoja simtaji.
 
Mshamfunda akafundika?
Kwetu uhayani kuna 'vifaa' maalum bi harusi ( omugole) huwa anapewa na mama zake vimfae katika ndoa,vyote vinahusiana na usafi wa mmewe baada ya ,shughuli',je makungwi mmempa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom