mwaliko ya kitchen party kumfunda mwali wetu madame B.

bibi weeee hebu acha umwali kigego unataka tuitwe misungo siye wakti ni mafundi tulotukuka kwenye hii fani
mwali mwalikwa bibi weee!hebu chuntama huko nakuitia farkhina aje akutie piko halafua aje kabisa na kashata za kungu

na uji wa kungu sijui nani atampikia huyu hebu kungwi mpe mtu kazi hii haraka muda unaenda atiii.
 
My dia madame b,kadi za send off ulizonipa 40 za ndugu zangu tayari nimezipata ,ila nimeambiwa leo hutoki ndani,,nimempa huyu dada laki 4 kwa ajili ya mabrighter
leo huyu nimemfungia hatoki kwa heri ala kwa shari unataka aitwe jina baya? ataitwa mwali gego bure......
 
na uji wa kungu sijui nani atampikia huyu hebu kungwi mpe mtu kazi hii haraka muda unaenda atiii.

mi nafikiri Kaunga hapa inabidi ahusike,tena ufanye kumpigia simu aufanye mwepesi kidogo bila kusahau wakati wa kunywa mwali mwalikwa wetu anuize kabisa huku akitupia punje za tende na aumiminie asali !ili aonjwappp awe ladha ya wa asali ya nyuki wadogo!
halula!
 
Last edited by a moderator:
My dia madame b,kadi za send off ulizonipa 40 za ndugu zangu tayari nimezipata ,ila nimeambiwa leo hutoki ndani,,nimempa huyu dada laki 4 kwa ajili ya mabrighter

Yani leo mimi ni bubu mpendwa.
Kungwi wangu,mueleze atakuelewa.
 
mi nafikiri Kaunga hapa inabidi ahusike,tena ufanye kumpigia simu aufanye mwepesi kidogo bila kusahau wakati wa kunywa mwali mwalikwa wetu anuize kabisa huku akitupia punje za tende na aumiminie asali !ili aonjwappp awe ladha ya wa asali ya nyuki wadogo!
halula!
chezeya makungwi yakikutana weye............lazima hapa mtu adate kama L.B KWA DOROTHY
 
Mamii gfsonwin usiwe na shaka na risiti tena no kuchakachua coz ninaujuz na hii kitu ya manunuzi aisee,ila Kongosho kuna limit ya idadi ya nyagi .
 
Last edited by a moderator:
hivi gfsonwin enzi zetu mtu akikiuka maagizo ya makungwi tulikuwa tunafanywaje?
hebu nikumbushe manake naona hapa tunaweza kuaibika muda si mrefu hapa

umesahau tulikuwa tunafinywa kutumia jivu kwa bibi hadi zivu walikuwa wanaondoka nazo? je umesahu tulivyokuwa tunatandikwa mkoleni? ila best mateso yale over my dead body mwanangu simpeleki
 
chezeya makungwi yakikutana weye............lazima hapa mtu adate kama L.B KWA DOROTHY

pana chezeya sisi!
tukishamaliza unyago wa kibantu,na kipwani tunahamia wa kiajemi!kisha twampa wa kihispaniola mbona huyo shemegi atajing'ataaa!:tongue::tongue:
 
umesahau tulikuwa tunafinywa kutumia jivu kwa bibi hadi zivu walikuwa wanaondoka nazo? je umesahu tulivyokuwa tunatandikwa mkoleni? ila best mateso yale over my dead body mwanangu simpeleki

ahahahahhahhahaha usinochekeshe !yani hata mi staki kusikia siku binti yangu alipovuja ungo bibi zake yani mama zangu wadogo walivosikia nakwambia shurti wanataka nimpeleke mkoa,nikawaambia babake hataki ila ukweli nilikuwa sitaki tu zile habari ah!
 
pana chezeya sisi!
tukishamaliza unyago wa kibantu,na kipwani tunahamia wa kiajemi!kisha twampa wa kihispaniola mbona huyo shemegi atajing'ataaa!:tongue::tongue:

hapa unamfunda kiaina zote ashindwe yeye kuutumia tu, akitoka hapo lazima awe mkwe wetu atembee na bastola lol!
 
Lisisahaulike kungu la comorro, na bilal mashauz aitwe kusasambua!

enheee cacico tena ukienda kuliagiza usisahau na ule mkeka wa kiambu huko uulete ili awe anakaa chini mara nyingine kuweka mali kwenye order muda wote!
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhahhahaha usinochekeshe !yani hata mi staki kusikia siku binti yangu alipovuja ungo bibi zake yani mama zangu wadogo walivosikia nakwambia shurti wanataka nimpeleke mkoa,nikawaambia babake hataki ila ukweli nilikuwa sitaki tu zile habari ah!
yaani mie nitamfunda mwenyewe chumban acha kabisa, ni bora umemkwepesha hayo aiseee ile ni zaid ya jeshi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom