mwaliko ya kitchen party kumfunda mwali wetu madame B.

Heheheiya goma limewiva shosti@King'asti njoo utukabidhi mkwanja tuanze shopping ya nguvu,lazima shostiwangu Madame B ang'are na mtaa wa pili wanune
 
Last edited by a moderator:
hapana huruhusiwi kutoka nje. leo ni mm na wewe humu ndani hadi kieleweke.

huyu mwali mbona anataka kutuangusha somo zake!mwali mwalikwa bibi!hebu ajitulize ndani apakwe hinna gfsonwin shistilo umesahau kumwita farkhina hapa anahusika kweli kuremba kiuno cha bibie kwa maua ya asumini awe hurlain haswa kunako bed! farkhina hebu kuja kipande hii.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kungwi,nataka namimi nitoke nje jamani,
Mbona mimi leo bubu?
Mdomo unaniwasha kungwi.
bibi weeee hebu acha umwali kigego unataka tuitwe misungo siye wakti ni mafundi tulotukuka kwenye hii fani
mwali mwalikwa bibi weee!hebu chuntama huko nakuitia farkhina aje akutie piko halafua aje kabisa na kashata za kungu
 
Last edited by a moderator:
Jamani kungwi,nataka namimi nitoke nje jamani,
Mbona mimi leo bubu?
Mdomo unaniwasha kungwi.

weee mwana wewe
usitutie aibu wenzio unataka mkwe wetu aone kaoa mang'aa?
lazima tukuvundike utoke umeiva kimyaa huku ndani leo jion ndo utaongea ili kutuuliza maswali.
 
tena za ukweli ila marufuku kuona mkia humu ndani. tutataka tujiachie kwa raha zetu.
yaani tukifika tunavua baibui na madela tunabaki na nguo za ukweli full kujiachia utatujua kwani? na hivi tumejifungia ndani??

ahahahahahhaha hapa ndo utamfanya ahonge kabisa ili aweze kuruhusiwa kuja!
 
ahahahahahhaha hapa ndo utamfanya ahonge kabisa ili aweze kuruhusiwa kuja!

amuhonge nani tena?? yaani humu tunajiachia na unyunyu za uhakika ukiachilia mbali vinguo vya uhakika hapa namwona cacico akiwa pande zileeee akifanya manunuzi manake namwaminia lol!
 
Last edited by a moderator:
My dia madame b,kadi za send off ulizonipa 40 za ndugu zangu tayari nimezipata ,ila nimeambiwa leo hutoki ndani,,nimempa huyu dada laki 4 kwa ajili ya mabrighter
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom