Mwal. Wa history Darasani.

Mwal. Wa history Darasani.

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,755
Reaction score
2,303
Wakati akifundisha somo la History akauliza swali kwa wanafunzi wake:-
Mwl.....Nani alimuua mtemi Mkwawa?
Mwanafunzi wa 1. Mwl mi sijui jana sikuja shule!?
Wa2. Mi mwalimu sijuikabisa maana jana nlikuwa naumwa!?
Wa3. Nae mi mwalimu sikuhusika kabisa! ->>>>>Mwl. Kuona hivo akaona hawa wanaleta utani et!, Akaamua kwenda kwa Mwl. Mkuu akamwelezea kilichotokea Mwal. Mkuu nae ikabidi aambatane nae wakashudie wote kwa pamoja! Walipofika mkuu akaulza swali lilelile na Majibu yakawa Yale yale?!
Mwl mkuu kuona Vile Akamvuta Pembeni Mwal. Wa Somo na Kumuuliza "LAKINI MWL. UNA UHAKIKA MUUAJI ATAKUWA HUMU DALASANI KWELI?!" ungekuwa wewe mwl. Wa somo ungemjibu nini!
 
Uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwi!!!!!!!!!!!!! Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu kaanza kusoma science tangu kindergaten msameheni bure..
 
mwalimu huyo wa history ndio hana akili sababu mkwawa hajakufa
 
mkuu wa shule pamoja na wanafunz wake vilaza
 
Twende mbele turudi nyuma, Mkwawa aliuwawa au alijiua au vyote sawa?
 
ningemuuliza shule aliyo soma kabla ya yote

Mkuu kwani wewe shule uliyosoma walikwambia nani alimwua Mkwawa? Ukweli na wanahistoria wengi wanasema alijiua (suicide) na hakuuliwa na mtu yeyote
 
Sio kosa lake primary to college abroad sa mkwawa wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom