Njaa Mbaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 178
Bandali ilikuwa imejaa ma mbumbu bora alivyo yapiga chini. sio vibaya kuanza upya maana hata 2015 tunatalijia kuanza upya na Serekali mpya, rais mpya, naibu waziri wa elimu mpya anaye jua anacho kisema na sio kupayuka kama huyu wa magamba.
Tutateua maziri kwa kuangalia qualifications zao na sio ushikaji kama hawa wa Magamba wanaochaguliwa huku wengi wakiwa na vichwa vya kufugia nywele badala ya kuvitumia katika kufikiria.
Tuta hakikisha tuna pangua safu yote ya vigogo wa TRA ambao badala ya kuwatumikia wananchi wa Tanzania, wametengeneza mtandao wao na wafanya biashara wachache wanao kwepa kodi kwa kuchukua rushwa za mamilion ya fedha huku wakiliacha taifa likiteketea.
Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.......
Kupe ni lazima aogope anapoona N'gombe akiogeshwa. Mwakembe kanyaga baba!.......
Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona......
Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.
Bado nabaki kusema kuwa uamuzi aliouchukua ni sahihi maana kama ofisi za wizara zipo Dar na si mbali na bandari sasa tatizo liko wapi?R u serious, hivi unaelewa kitu kinachoitwa time is money au ndio mambo tu ya kudandia treni kwa mbele.
1..Wenzako wana trip zao za kwenda na kurudi kubeba mizigo wewe unawapotezea muda kwa ushamba wako halafu unaona ana justification ya kufanya hivyo, kuna watu wanalipwa melini every extra day ni overtime, kuna hela zingine na mizigo mingine meli inasubiri wewe unawapotezea muda, kuna watu wameshaambiwa meli inatumia muda gani kufika na mizigo waitegemee lini kibiashara, kuna mlolongo wa mapato ambao umesambaa wewe unazuia kwa upuuzi wako.
On the other hand kuna port zingine ambazo zinaweza iba biashara for the sake of customers satisfaction kama kuna watanzania wanaona heri ya kushushia mombasa, what about countries ambazo zinakuwa na mizigo ambayo inafaida kubwa yamapato kwetu kuamia kwengine.
Jamaa amesha sema kama ni kudhibiti mapato kuna namna zake, lakini kama ni kufanya biashara effectively this is absurd.
I always thought the guy was not right for this post, maana kaanza kulewa hata na masifa ya treni ya Mwakyembe as if the plan was initiated in the last six months, nevertheless he is happy to receive all the accolades without acknowledging those responsible for that train.
Kama kikwete anampenda sana ampe wizara ya sheria huko ndio anapofa lakini si kwenye miradi he is just not cut for those roles. It tells akili ya raisi wetu ikoje kutokana na haya matatizo na teuzi zake za ajabu ajabu no wonder aelewi sababu za umaskini wa taifa.
Naomba unijibu maswali hayaAcha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.