Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,172
- 222,119
unataka kusema huyu The Boss ndiye Bade mwenyewe ?Bade achana nao majungu na fitna tu were msomi bwana unaweza kufanya kazi popote katika sayari hii
Last edited by a moderator:
unataka kusema huyu The Boss ndiye Bade mwenyewe ?Bade achana nao majungu na fitna tu were msomi bwana unaweza kufanya kazi popote katika sayari hii
haaa haaa haaa ndugu uliona zile picha sita akiwa na tajiri wa HSC , mwakyembe naye na wote wamepiga wakiwa dubai hv unafikiri ni kwanini walikutana na huyu jamaa? haikuwa bahati mbaya ila ni kwa makusudi. wizara usafirishaji + bandari na TRA + HSC=...........
mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni Mungu akulinde sana .
Hapo hilo linawezekana bila kamishna wa TRA kujua
maofisa wa chini waka forge documents...na walinzi wa TRA wakaruhusu kontena zipite
na wenye kontena kama hawajalalamika it means wanahusika...
kamishna kaonewa..yeye kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
sio kulinda makontena bandarini
Mwigulu na majitambo kedekede licha ya kuwapakazia watu ufisadi,alikuwa analea wizi Ws kutisha TRA bandarini
Safari hii uwaziri wa fedha yeye na wenzake WATAISOMA
NAMBA
Walifanya mpaka pale walipoweza. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa akijinasibu kuwa alikuwa chini ya mtu, lakini kwa sasa yeye ni boss. Unadhani Magufuli angekuwa rais nyumba za serikali zingepigwa bei? Think outside the boxTulikuwa tunampa hongera na sifa nyingi humu Mwakyembe tukisema 'aliisafisha bandari' na ni 'mchapakazi' na wengine wakiomba ateuliwe kuwa Waziri mkuu ili alete Hiyo kasi na uchapakazi lakini tunakumbuka Sitta alipom replace na yeye Sitta akala 'ujiko' wa kuisafisha bandari na kuondoa madudu.
Kumbe in reality hakuna walichokifanya au walichokifanya hakikuwa na manufaa sasa tena sasa tunashingilia Magufuli na Majaliwa 'kuisafisha 'bandari na kuondoa madudu....
Maswali ya kujiuliza Sitta na Mwakyembe 'tuliwasifia' kwa nini hasa? Na kinachofanyika sasa tuna uhakika ndo soluhisho la kudumu? Kama sifa tulizowapa Mwakyembe na Sitta huko nyuma zilikuwa za makosa na hizi sifa tunazo mwaga sasa je? Hivi haiwezekani nchi hii mambo yakaenda bila kiongozi 'kutikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' na 'akamwagiwa' sifa tele?
Nchi zote zenye efficiency viongozi wao huwa 'wanatikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' Kama hapa kwetu?......
Sasa walinzi wa TPA ndio kamishna wa TRA afukuzwe?
unaona ni busara?
Mbona unataka kufanya mambo yawe magumu bila ya sababu? Kwani ni nani amekwambia nchi yetu ina hiyo uliyoiita ,,effieciency ya Uongozi"? Ingekuwepo tungekuwa third world?
Acha kupoteza muda wako kwa kuanza kuchimba na kupekenyua mambo ili mradi tu upate cha kumkosoa Raisi Magufuli kwa ayafanyayo!
Kuna jambo unapaswa ulitambue kama bado haujalitambua kila kitu hapa Duniani ni relative hivyo muache Raisi Magufuli atumikie Uraisi wake ndiyo kwanza ana wiki tatu hivyo siyo fair Duniani hata kwa Mungu kuanza kumuhukumu Kiongozi aliyeko madarakani kwa muda wa wiki tatu, hakuna mtu mwenye akili ambaye atakuelewa Dunia hii kwamba yote haya na shutuma zote hizi ni Raisi aliyeko madarakani kwa wiki tatu tu!
Hivi mmesoma shule gani jamani.hata kuchangamsha kichwa kidogo huwezi ,wapuuzi kama nyie mngetakiwa kuwa darasani sasahv.hv unashindwa kujiuliza kama tpa kulikua na makosa mbona hawajachukuliwa hatua.na pia unashindwa kujua namna tra inavyofanya kazi bandarini huu ni upuuzi mtupu ulio andika.unawezaje kumuhusisha mwakyembe na sita kwenye ishu ya tra?upeo wako ni mdogo sana ,msome jamani acheni kukurupukaTulikuwa tunampa hongera na sifa nyingi humu Mwakyembe tukisema 'aliisafisha bandari' na ni 'mchapakazi' na wengine wakiomba ateuliwe kuwa Waziri mkuu ili alete Hiyo kasi na uchapakazi lakini tunakumbuka Sitta alipom replace na yeye Sitta akala 'ujiko' wa kuisafisha bandari na kuondoa madudu.
Kumbe in reality hakuna walichokifanya au walichokifanya hakikuwa na manufaa sasa tena sasa tunashingilia Magufuli na Majaliwa 'kuisafisha 'bandari na kuondoa madudu....
Maswali ya kujiuliza Sitta na Mwakyembe 'tuliwasifia' kwa nini hasa? Na kinachofanyika sasa tuna uhakika ndo soluhisho la kudumu? Kama sifa tulizowapa Mwakyembe na Sitta huko nyuma zilikuwa za makosa na hizi sifa tunazo mwaga sasa je? Hivi haiwezekani nchi hii mambo yakaenda bila kiongozi 'kutikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' na 'akamwagiwa' sifa tele?
Nchi zote zenye efficiency viongozi wao huwa 'wanatikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' Kama hapa kwetu?......
The Boss na mimi naomba nichangie kidogo...
1. mwakyembe ana file chafu sana hasa linalohusisha shirika la ndege..kama wataamua kulifanyia kazi atashtakiwa kama wale wafanyakazi wa shirika la ndege walioshitakiwa..wizi alioufanya hapo ATCL ni mkubwa sana na kama haki itatendeka fast jet itakufa maana wengi ndo wamewekeza huko...
2..inaonekana unamtetea huyo bade ...kwa lililotokea amestahili kusimamishwa..kwa uchunguzi uliofanyika ni miongoni mwa watanzania ambao hawaweki hela bank na badla yake wanaweka kwenye sim tank na kutundikwa juu kana kwamba lina maji kumbe limejaa pesa..kuna mwingine yeye nyumbani kwake mahali anapopaki magari kwa chini amezika sim tank mbili na kisha kupaweka level juu zinapaki gari kumbe chini kafukia mabilioni ya hela..mwingine yeye nyumbani kwake ana chumba cha siri (underground room) anatumia chumba hicho kufichia pesa..
mda huwa ni hakimu mzuri sana nyie subirini mbona bado.......
kuna watu alikua hawezi kuwagusa kabisa si kosa lao.hata hao akina bade wa tra wanatolewa kafara tu.Tulikuwa tunampa hongera na sifa nyingi humu Mwakyembe tukisema 'aliisafisha bandari' na ni 'mchapakazi' na wengine wakiomba ateuliwe kuwa Waziri mkuu ili alete Hiyo kasi na uchapakazi lakini tunakumbuka Sitta alipom replace na yeye Sitta akala 'ujiko' wa kuisafisha bandari na kuondoa madudu.
Kumbe in reality hakuna walichokifanya au walichokifanya hakikuwa na manufaa sasa tena sasa tunashingilia Magufuli na Majaliwa 'kuisafisha 'bandari na kuondoa madudu.
Maswali ya kujiuliza Sitta na Mwakyembe 'tuliwasifia' kwa nini hasa? Na kinachofanyika sasa tuna uhakika ndo soluhisho la kudumu? Kama sifa tulizowapa Mwakyembe na Sitta huko nyuma zilikuwa za makosa na hizi sifa tunazo mwaga sasa je? Hivi haiwezekani nchi hii mambo yakaenda bila kiongozi 'kutikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' na 'akamwagiwa' sifa tele?
Nchi zote zenye efficiency viongozi wao huwa 'wanatikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' Kama hapa kwetu?
Kila kitu ni relative? Umevurugwa
Si kwamba Bandari hakuna madudu. Lakini hili suala la makontena haliwahusu. Nu Saada Mkuya na TRA yake.
Mimi Nadhani Bandari inabidi iwe na mamlaka kamili. Yaani wakusanye tozo zao pamoja na kodi na kuipeleka hazina moja kwa moja. Kwanza itapunguza urasimu. Hiki bandari,kile TRA kwa mzigo huo. Iwe desk moja tu. Tozo na kodi hapo hapo.