Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

Panapostahili sifa acha itolewe, kama kutakuwa na mambo yanayohitaji utatuzi wa haraka hayapaswi kusubiri ufumbuzi wa kudumu. Ufumbuzi wa kudumu unaweza chukua miaka kupatika, maana utahitaji kuistudy system nzima ya wizi. Kwa issue iliyotokea haihitaji kuundiwa tume sababu vithibisho viko wazi.
 
TRA wanahusika direct na ulinzi wa kontena?
au zilipotolewa kuna forged documents?
walinzi wa gate no 5 ni waajiriwa wa TRA?

Lugha waliyotumia ndio inaleta mushkeli. Hakuna mwenye container aliyelalamika kuibiwa container lake bali hizo container zilitoka bila Ushuru kulipwa TRA.

Hii imejulikana baada ya kumatch kati ya TRA na TPA. Inawezekana kabisa docs za kutolea toka TRA zilikua fake.
 
Sasa walinzi wa TPA ndio kamishna wa TRA afukuzwe?
unaona ni busara?
Hajafukuzwa, bali amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi ufanyike. Kumbuka kuwa, huwezi kufanya uchunguzi kwa mafanikio kama yeye atakuwa kazini...hizo ni protocol za kawaida.
Lakini, anasimamishwa kazi kwa vile kuna maofisa wa TRA ambao wamehusika directly na ukiukwaji wa maadili ya kazi yao. Ndio maana wamepigwa stop kusafiri nje ya Dar.
Wale wa TPA wamewajibishwa tayari, akiwemo mkuu wa forodha.(kama sikosei).he must've been the mastermind.
 
Mwakyembe alichafua kwa kupandikiza ukabla kuwaajiri ndugu zake watupu huku akishiriki kuiba sana, Mzee sita na yeye aliiba zaidi huku akihujumu Reli na kuwafanya Wamiliki wa maroli mladi wa kuchukua pesa kwa kisingizio kuwa akifufua Reli na treni za mizigo watazuiwa kupakia mizigo.kila mmoja alikuwa mwizi kwa syle yake lakini mwisho wa siku wote hawakuisaidia bandari chochote.

Uliza mabasi mapya ya dar tabora ya tabora 1 ni ya nani, na yalipita hapo kwa njia halali
 
Lugha waliyotumia ndio inaleta mushkeli. Hakuna mwenye container aliyelalamika kuibiwa container lake bali hizo container zilitoka bila Ushuru kulipwa TRA.

Hii imejulikana baada ya kumatch kati ya TRA na TPA. Inawezekana kabisa docs za kutolea toka TRA zilikua fake.

Hapo hilo linawezekana bila kamishna wa TRA kujua
maofisa wa chini waka forge documents...na walinzi wa TRA wakaruhusu kontena zipite
na wenye kontena kama hawajalalamika it means wanahusika...
kamishna kaonewa..yeye kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
sio kulinda makontena bandarini
 
Naona The Boss una uswahiba na ex Boss wa TRA. Mwache Magufuli aweke watu wanaokwenda na kasi yake.
 
Hajafukuzwa, bali amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi ufanyike. Kumbuka kuwa, huwezi kufanya uchunguzi kwa mafanikio kama yeye atakuwa kazini...hizo ni protocol za kawaida.
Lakini, anasimamishwa kazi kwa vile kuna maofisa wa TRA ambao wamehusika directly na ukiukwaji wa maadili ya kazi yao. Ndio maana wamepigwa stop kusafiri nje ya Dar.
Wale wa TPA wamewajibishwa tayari, akiwemo mkuu wa forodha.(kama sikosei).he must've been the mastermind.

Bado sijaona sababu ya kumsimamisha kamishna wa TRA...
kumbuka kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
na sio kulinda kontena bandarini..kama kuna cartel ya wizi bandarini waikamate kwanza
hadi wapate sababu za kumhisi kamishna anahusika ndo asimamishwe
 
Hapo hilo linawezekana bila kamishna wa TRA kujua
maofisa wa chini waka forge documents...na walinzi wa TRA wakaruhusu kontena zipite
na wenye kontena kama hawajalalamika it means wanahusika...
kamishna kaonewa..yeye kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
sio kulinda makontena bandarini

You are absolutely right, lets hope amesimamishwa to kama utaratibu ulivyo ili uchunguzi ufanyike freely
 
Mwakyembe alichafua kwa kupandikiza ukabla kuwaajiri ndugu zake watupu huku akishiriki kuiba sana, Mzee sita na yeye aliiba zaidi huku akihujumu Reli na kuwafanya Wamiliki wa maroli mladi wa kuchukua pesa kwa kisingizio kuwa akifufua Reli na treni za mizigo watazuiwa kupakia mizigo.kila mmoja alikuwa mwizi kwa syle yake lakini mwisho wa siku wote hawakuisaidia bandari chochote.

Upumbavu!
 
Naona The Boss una uswahiba na ex Boss wa TRA. Mwache Magufuli aweke watu wanaokwenda na kasi yake.

Kama hamkubali kamishna utendaji angemuondoa tu na kumbadilisha
ila kusema kafukuzwa kazi kisa wizi wa kontena huoni kama
kamdhalilisha mtu? ulinzi wa kontena sio direct responsibility ya kamishna wa TRA...
 
Bado sijaona sababu ya kumsimamisha kamishna wa TRA...
kumbuka kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
na sio kulinda kontena bandarini..kama kuna cartel ya wizi bandarini waikamate kwanza
hadi wapate sababu za kumhisi kamishna anahusika ndo asimamishwe

In someway, kamishna is responsible. He must take full rensponsibility of such huge loss like that.
 
Nadhani upeo wako wa kufikiri ni mdogo. Mimi kwa mtanzamo wangu Mwakyembe alisaidia sana kusafisha Bandari na kila mtanzania analijua hilo. Kabla ya Mwakyembe kuingia Wizara ya uchukuzi hali ilikuweje bandarini na baada ya kuingia ikaweje, tuache unafiki wa kisiasa. Pia elewa kuwa makontena yaliyopotea yaliyoibuliwa na Majaliwa yapo chini ya TRA ambao ndio wanayasimamia. TRA ipo chini ya Wizara ya Fedha na siyo Wizara ya Uchukuzi, nenda shule.
 
Ukimsikiliza huyu jamaa unaweza kujilipua bure, angalia na kusikiliza at your own risk
Prof. PLO Lumumba
 
Last edited by a moderator:
Bado sijaona sababu ya kumsimamisha kamishna wa TRA...
kumbuka kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
na sio kulinda kontena bandarini..kama kuna cartel ya wizi bandarini waikamate kwanza
hadi wapate sababu za kumhisi kamishna anahusika ndo asimamishwe
The Boss, sababu za kumsimamisha zipo, ni sahihi kabisa kumsimamisha.
Kwanza, kitengo kilichovurunda kipo chini yake. Maofisa waliovurunda wapo chini yake, hivyo makosa yao ni makosa yake..indirectly.
Pili, Taarifa za upotevu wa hayo makontenna, na kutolipiwa kodi alikuwa nazo, hakuzifanyia kazi ipasavyo. Kwa mujibu wake, alisema walikuwa wanawasilina na PCCB ili kufanya uchunguzi. Lakini pia walimpiga fine mkuu wa ICD 12B na ndio amelipa 2.5B.
Kwa nini hakuwachukulia hatua maofisa walioko chini yake? Ameulizwa na kukiri live kabisa, we huoni kosa lake?
 
Last edited by a moderator:
Kama hamkubali kamishna utendaji angemuondoa tu na kumbadilisha
ila kusema kafukuzwa kazi kisa wizi wa kontena huoni kama
kamdhalilisha mtu? ulinzi wa kontena sio direct responsibility ya kamishna wa TRA...

Yeye mwenyewe Rished alikubali kuna uzembe ulitokea chini yake.
Kazi hajafukuzwa, kasimamishwa kupisha uchunguzi, kama itathibitika hana tatizo atarejea kwenye majukumu yake.
Hajadhalilishwa, Magufuli anajaribu kutibu machungu waliyonayo watanzania.
 
The Boss ulifuatilia zile conversations kati ya PM na Bade?
Inawezekana tukawa tunajadili ishu ambayo Wewe hukuelewa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom