Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

Mbona unataka kufanya mambo yawe magumu bila ya sababu? Kwani ni nani amekwambia nchi yetu ina hiyo uliyoiita ,,effieciency ya Uongozi"? Ingekuwepo tungekuwa third world?

Acha kupoteza muda wako kwa kuanza kuchimba na kupekenyua mambo ili mradi tu upate cha kumkosoa Raisi Magufuli kwa ayafanyayo!
Kuna jambo unapaswa ulitambue kama bado haujalitambua kila kitu hapa Duniani ni relative hivyo muache Raisi Magufuli atumikie Uraisi wake ndiyo kwanza ana wiki tatu hivyo siyo fair Duniani hata kwa Mungu kuanza kumuhukumu Kiongozi aliyeko madarakani kwa muda wa wiki tatu, hakuna mtu mwenye akili ambaye atakuelewa Dunia hii kwamba yote haya na shutuma zote hizi ni Raisi aliyeko madarakani kwa wiki tatu tu!

mkuu achana na wenye viroho korosho. unajua mi hua najiuliza kipi ambacho rais afanye ndo haya majitu yaridhike? yani pamoja na juhudi zote za raisi kutaka kurejesha matumaini ya wa-tz kwa serikali yao bado kuna wajinga wanabeza?? ama kweli binadamu ni kiumbe tata!!
 
Back
Top Bottom