Mwakyembe reassures Parliament on Serengeti Highway Project. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakyembe reassures Parliament on Serengeti Highway Project.

Discussion in 'International Forum' started by Kabaridi, Apr 12, 2012.

 1. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mzalendo unachekesha sana, eti 'tetesi.. Tanzania parliament moves with unanimity to ...lol.
   
 3. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hehehe..............
  Thnx for the confirmation, wabunge tuseme watakutana katika malumbano na EAC court of justice.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi hamkujua kama Tanzania ilikuwa inawavutiwa pumzi?
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kikwete na ccm yake wakishindwa kujenga barabara hii iliyowapatia kura za kutosha kutoka kwa wakazi wa wilaya ya Serengeti pamoja na mkoa wa Mara kwa ujumla wake, atambue kwamba panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu atakuwa amenirahisishia kazi ya kuwa mbunge wa jimbo la Serengeti kuanzia November 2015.

  Afanye kila liwezekanalo barabara ijengwe, mambo ya mahakama ya EAC hayatuhusu, tunachohitaji ni utekelezaji wa ilani ya ccm!
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kama serikali yenu haiheshimu maamuzi ya mahakama ya jumuiya ya Afrika Mashariki ni jambo la kheri tu mkajitoa kungali mapema kwenye hiyo jumuiya kwani inaelekea viongozi wenu huwa wanatia saini makubaliano ya nchi wanachama bila kuelewa yaliyomo kwemye mikataba/makubaliano!!
   
 7. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wakenya mbona mnatung'ang'ania sana kwenye hii jumuia?
  Mbona sisi atuwaingilii kwenye mambo yenu ya ki mungiki?
  Barabara itajengwa, na tutaakikisha wanyama hawaji huko kenya, ili tuona hao wazungu mtawaonyesha nini... Mmezidi sana nyie, mbona sisi hatuwaingilii kwenye projects zenu? Kazi kulia lia, 'ecosystem' 'ecosystem'... Mara oohoo EAC, EAC... This time imekula kwenu..
   
 8. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mbona tunataka kuua a God given/natural resource. Kwani Serikali haiwezi reroute hiyo Highway?
   
 9. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kutetea ujenzi wa hii barabara ni ujinga mwingine WaTz tunaoufanya, sidhani kama kuna ulazima wowote wa hii project kuendelea kutekelezwa, always tunafanya mistakes kwenye rasilimali tulizojaliwa na mwenyezi mungu na pale tunapokuja kuona madhara yake ndio tunakuja na kauli nyepesi nyepesi za kuwa hatukujua hilo mwanzo kutokana na uchanga wetu. Mimi nitaendelea kupinga huu ujenzi wa hii barabara hadi mwisho, na ni ujinga kwa mTz yoyote kusuport this bullshit
   
 10. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Hapo umenena mulaa, ntakupongeza kwa mayai ya NINGU!
   
 11. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mzalendo, mimi nafikili hiyo barabara itajengwa nje kidogo ya njia kuu za wanyama, Watanzania wanajua walifanyalo hawakurupuki.
   
 12. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Je! una blue-prints zezote kutuonyesha jinsi hiyo barabara itajengwa, sababu chochote kinacholeta mchecheto kwenye makundi ya kuhifadhi wanyama ina kweli
   
 13. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Good! We have a country to develop. Na hiyo feasibility isitucheleweshe sasa.
   
 14. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu, sijuhi kama nchi huru ina ulazima wa kuonyesha majirani nini kinafanyaika for approval! Tanzania siyo Falkland Insland ambayo inapashwa kuomba kibali kutoka Uingereza kabla aijafanya kitu.
   
 15. m

  massai JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  jamani mmesha fanya japo simple survey nakujua faida za hiyo lami?mbona **** barabara za muhimu sana zinazopitisha chakula kuleta mijini na mazao ya biashara?angalieni tunaharibu maliasili zetu kisa ni mtu mmoja afaidike.kule kuna hoteli ya bilila ambayo ni ya mzee mkubwa,sasa mwakembe anataka kulipa fadhila ya kutibiwa india kwa kuharakisha huo ujenzi.ulitibiwa kwa hela za walipakodi wa tanganyika bwana mwakembe acha ulimbukeni wako
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kelele za wakenya na yule muandishi wa uganda zisituzuie kufanya maamuzi,hii barabara ijengwe haraka !!
   
 17. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ninaposema hivi, haimanishi mupate ruhusa kutoka kwetu. Angalieni maslahi ya wajukuu wenu. Muweke rasilimali ambao wajukuu watauridhi na watalizungumzia.
   
 18. j

  joely JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kikwete mr president big up,
  usiwasikilize hawa mungiki (kuna mungiki wandani na wale wa nje) wanataka kutuingilia go on,
  kama wanauchungu na mbuga wangekuwa wamehasisha sana watz kutembelea japo hizo mbuga zetu za asili kujionea hao wanyama,walahu kwa sauti sawa ya kukataa na kuhamasisha labda ningeshawishika

  zamani nyumbu walikuwa wanakuja mpaka mugumu sokoni leo hata fort ikoma tu hawafiki, siku hizi tumekonda mno hata vimoro hamna,

  vimoro tumekubari kuviacha ila mzee barabara na airport hata kwa michale na marungu mzee tutakulinda

  mzee usisahau zile kura zetu tulizokupa wakti wa kampeni , tunakudai utulipe barabara,

  na ule uwanja wa ndege mzee vipi tuanze kuondoa vichaka au bado kidogo.

  Aaaahhhhhhhh mr true president go on


  ya kwanza ni serengeti , ngorongoro, manyara na mikumi oooooooooooh tanzania hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 19. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  'No research no right to speak', Tanzania ni nchi huru lakini si kisiwa. Uhuru hauna maana ya kutofuata mambo ya kisheria na mambo ya kitafiti. Na kushauriwa na sayansi iwe ya jamii au ya namna gani ni sehemu ya utawala bora. Kutofanya upembuzi yakinifu (feasibility study) katika mambo yanayohusu mstakabali wa masuala ya nchi hii ni sehemu ya kutangaza kuwa wewe ni 'mjinga' hata ukiambiwa maziwa toka China ya NIDO yamewekewa vimelea hatari kwa afya ya binadamu we utasema maadamu mi nikinywa naona yana ladha ya maziwa. Kujenga barabara ipitayo Serengeti tupende tusipende kuna athari kwa wanyama waishio Serengeti na Ngorongoro. Na wakubwa wanaitetea basi watuonyeshe wataalam wa mazingira wa kwetu waliobobea katika taaluma hiyo wanasemaje juu ya barabara hiyo. Kama wanaona haina madhara basi haitakuwa na madhara. Lakini ubishi wetu ndo umefanya barafu ya mlima Kilimanjaro ipungue na miaka huenda si zaidi ya hamsini hatutajivunia tena barafu katika nchi za kitropikali. Ni vema kufuata maoni ya wataalamu. Kwa upande wa uamzi wa mahakama, inajulikana kuwa mahakama ikiamua (imeamua sahihi au si sahihi, namna ya kurekebisha ni kukata rufaa na hivyo Mwakyembe kama mwanasheria amshauri AG akate rufaa mbona Dowans tuling'ang'ania kulipa na bado hata mitambo yake tukakubali inunuliwe na mwekezaji na iwashwe na tuuziwe umeme sisi wenyewe???? Maajabu yako wapi kufuata matakwa ya sheria. Hata tusingekuwa katika jumuiya ya Afrika Mashariki bado wanayohaki watu kuhoji kitu kitakacholeta madhara kwa maisha yao ya baadae. Mbona maji ya ziwa Viktoria hatuyatumii tutakavyo wakati wamisri hata uhusiano wetu ni wa kawaida sana...tuwe makini na hili
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ataekuchaguwa mtu kama wewe kuwa Mbunge huyo ana matatizo ya akili. Ni sawa na wale wanaojidai kumpigia debe yule mtoto wa Malecela.
   
Loading...