Mwakyembe reassures Parliament on Serengeti Highway Project.

wakenya mbona mnatung'ang'ania sana kwenye hii jumuia?
Mbona sisi atuwaingilii kwenye mambo yenu ya ki mungiki?
Barabara itajengwa, na tutaakikisha wanyama hawaji huko kenya, ili tuona hao wazungu mtawaonyesha nini... Mmezidi sana nyie, mbona sisi hatuwaingilii kwenye projects zenu? Kazi kulia lia, 'ecosystem' 'ecosystem'... Mara oohoo EAC, EAC... This time imekula kwenu..

Hatushughuliki na wanyama/mifugo yenu. Hata mukitaka kuweka ua ili wanyama wasiingie kwenye boma ya wengine, watakufa kwa kukosa lishe, kazi kwenu!
 
Back
Top Bottom