Mwakyembe ndani ya kanisa la Gwajima; ashukuru kwa maombi akiri kulishwa sumu!

mh sitta anne kilango ndio nani!? Hebu tulia na uandike vizuri! Sio unaandika kama unakimbizwa kama unavuta bangi acha kwanza!

Ameandika akiwa kanisani nadhani amefanya haraka ili Mchungaji asimuone.Anyway this is some hot news,lets see how they unfold.
 
Huyu Sitta ni mnafiki sana kiasi kwamba ingekuwa China angekuwa ameshanyongwa!

Sitta ni mtu wa "maneno maneno" leo hivi kesho vile, akipewa nafasi anayoitaka basi misimamo yake inarudi kule kule "magambani". Huyu mzee ni mbinafsi kama wenzie tu. Bahati mbaya hizi "maneno maneno" ndio ugonjwa mkuu wa watanzania. Sio makanisani sio bar au maofisini ni porojo tu. Kina Shigongo wanaujua udhaifu huu wa watz ndo maana wana-make millions.
 
Mwakyembe anafanya mchezo mbaya. Anatakiwa aeleze wazi kilichotokea asifichefiche na kukisema makanisani. Siku akizikwa hatutaamini chochote kitkachosemwa na serikali. Kwa kawaida ya serikali yetu tutakachoambiwa ni kuwa "mh alikuwa anasumbuliwa na uginjwa wa muda mrefu, mungu aiweke roho yake pema peponi" That will be it, naona ni vizuri akituambia ukweli kuwa aliwekewa sumu na tujue ni nani alimwekea sumu hiyo.

Inaonekana kuwa hiyo sumu inaendelea kusambazwa kwa watu, now i believe that Daudi Balali is not dead, kama ni sumu hiyo hiyo ndio aliyowekewa basi kumbe kuna uwezekano wa kupona na kudumu kwa muda fulani. Lakini kukaa kimya na kusema Mungu anajua sidhani kama tutafika popote, hatusaidi wala hawasaidii wengine.
 
Mimi binafsi naamini Mwakyembe anaumwa na laana ya watanzania ya kwanini aliisoma nusu ile ripoti ya Richmond? Inaelekea Mwakyembe alikuwa na chuki binafsi na Lowassa. Alisoma sehemu ambayo waziri mkuu tu anahusika halafu kwingine akaficha!! sasa hiyo laana/dhambi itampeleka kuz--u!
 
watahangaika sana mwaka huu, Tena hawa wa kwenda kutafuta sympathy makanisani ndio wakuwaogopa kama ukoma.
 
Neno "siku yaja" si ajabu likizungumzwa kanisani, inawezekana alimaansiha siku ya kurudi mesiah yaja.
Ila naona mleta mada ana connect just kwa kulitaja jina la Mwakyembe, bado hakuna la kujadili for sure zaidi ya kuconnect dots za political affiliations.
 
Mwakyembe anafanya mchezo mbaya. Anatakiwa aeleze wazi kilichotokea asifichefiche na kukisema makanisani. Siku akizikwa hatutaamini chochote kitkachosemwa na serikali. Kwa kawaida ya serikali yetu tutakachoambiwa ni kuwa "mh alikuwa anasumbuliwa na uginjwa wa muda mrefu, mungu aiweke roho yake pema peponi" That will be it, naona ni vizuri akituambia ukweli kuwa aliwekewa sumu na tujue ni nani alimwekea sumu hiyo.

Inaonekana kuwa hiyo sumu inaendelea kusambazwa kwa watu, now i believe that Daudi Balali is not dead, kama ni sumu hiyo hiyo ndio aliyowekewa basi kumbe kuna uwezekano wa kupona na kudumu kwa muda fulani. Lakini kukaa kimya na kusema Mungu anajua sidhani kama tutafika popote, hatusaidi wala hawasaidii wengine.

Ni kweli mkuu Mwakyembe anatakiwa aeleze kwenye media ili watanzania wote tujue ukweli, aache kuficha ukweli auanike
 
Na kwa nini wanatumia nyumba za ibada kujifanyia matangazo? na hata hao wanaowapa nafasi ktk makanisa yao lengo lao ni mapesa yao, laiti wangalijua hili wangelijikalia majumbani kimya mpaka saa itakapowadia. wanamuiga Lowassa (Tapeli la kisiasa kupitia KKKT) wanajimaliza kabla 2015.
 
Hakika kweli ni mungun ndie alienifikisha hapa nilipo kama si maombi yenu kwa kweli mngekuwa mshanizika
si mimi ni maneno ya mh mwakyembe ambae yuko hapa kawe kanisa la ghwajima ufufuo na uzima akifwatana na mh sitta anne kilango.......
Mh anazidi kuonge amekiri kuna uchafu mkubwa ndani ya viongozi wa nchi hii na kama mungu atasimama na watu kadhaa basi pigo la nchi hii linaweza kuwa baya zaidi..anaendelea kusema

ntawajia baada ya muda niko kanisani kidogo nasikiliza ushuhuda wa hawa wauwaji

mkuu,acha kututia tumbo joto
lete mambo na maphoto kibao ikiwezekana nasi tushuhudie maushuhuda hayo
 
Mwakyembe anafanya mchezo mbaya. Anatakiwa aeleze wazi kilichotokea asifichefiche na kukisema makanisani. Siku akizikwa hatutaamini chochote kitkachosemwa na serikali. Kwa kawaida ya serikali yetu tutakachoambiwa ni kuwa "mh alikuwa anasumbuliwa na uginjwa wa muda mrefu, mungu aiweke roho yake pema peponi" That will be it, naona ni vizuri akituambia ukweli kuwa aliwekewa sumu na tujue ni nani alimwekea sumu hiyo.

Inaonekana kuwa hiyo sumu inaendelea kusambazwa kwa watu, now i believe that Daudi Balali is not dead, kama ni sumu hiyo hiyo ndio aliyowekewa basi kumbe kuna uwezekano wa kupona na kudumu kwa muda fulani. Lakini kukaa kimya na kusema Mungu anajua sidhani kama tutafika popote, hatusaidi wala hawasaidii wengine.

tena kama ni kweli inabidi tuulize kama kuna ulinzi wowote hapo alipo,wasije wakatoka na kichwa wahusika
 
mh sitta anne kilango ndio nani!? Hebu tulia na uandike vizuri! Sio unaandika kama unakimbizwa kama unavuta bangi acha kwanza!

na wewe shule za kudesa hizi
kwani sitta nae ni kilango ama ndio shule zetu za tukugume sec school
 
Ni kweli mkuu Mwakyembe anatakiwa aeleze kwenye media ili watanzania wote tujue ukweli, aache kuficha ukweli auanike
Sidhani hata kana yeye mwenyewe anajua kwa uhakika kilichomtokea. Yes, madaktari wanaweza sema tatizo lake limesababishwa na sumu fulani....lakini ni nani, wapi na lini sumu hiyo aliwekewa itabakia kuwa kitendawili kwake na hata madaktari. Uchunguzi kama huo wangeweza kuufanya polisi/ wapelelezi lakini kwa hapa kwetu ndio hivyo tena wote wameshanunuliwa!
 
Hakika kweli ni mungun ndie alienifikisha hapa nilipo kama si maombi yenu kwa kweli mngekuwa mshanizika
si mimi ni maneno ya mh mwakyembe ambae yuko hapa kawe kanisa la ghwajima ufufuo na uzima akifwatana na mh sitta anne kilango.......
Mh anazidi kuonge amekiri kuna uchafu mkubwa ndani ya viongozi wa nchi hii na kama mungu atasimama na watu kadhaa basi pigo la nchi hii linaweza kuwa baya zaidi..anaendelea kusema

ntawajia baada ya muda niko kanisani kidogo nasikiliza ushuhuda wa hawa wauwaji
Mtu kalishwa sumu af unamuita muuaji?! Au ndo ka jamaa alivyosema unanianga hk unafukuzwa kwa kuvuta bangi!
Mkuu itakuwa kweli
 
Ni kweli mkuu Mwakyembe anatakiwa aeleze kwenye media ili watanzania wote tujue ukweli, aache kuficha ukweli auanike

mchungaji amemwomba aeleze dunia matokeo ya kule india amesema amwombee muda si mrefu anaweka wazi anajiwekea usalama kwanza akaambiwa usalama uko kwa MUNGU amwachie yeye na kanisa zima waanze kupiga maombi
 
Mtu kalishwa sumu af unamuita muuaji?! Au ndo ka jamaa alivyosema unanianga hk unafukuzwa kwa kuvuta bangi!
Mkuu itakuwa kweli

inategeme a ulisoma wapi...wauwaji ni wale waliotaka kumuua so usipate shida sana kijana unaumiza kichwa mambo madogo
 
Mwakembe alipoacha kusoma sehemu ya ile ripoti alijua anafanyanini yamkini,hata huo unaibu ulikuwa shukrani kwa wema aliomfanyia jk.
 
Back
Top Bottom