Mwakyembe ndani ya kanisa la Gwajima; ashukuru kwa maombi akiri kulishwa sumu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakyembe ndani ya kanisa la Gwajima; ashukuru kwa maombi akiri kulishwa sumu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Steve Dii, Jan 29, 2012.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ameyasema hayo kwenye hadhara ya kanisa, Kawe, Tanganyika Packers. Mh. Mwakyembe naye atoa mawaidha yake mbele ya akadamnasi tangu arudi toka matibabuni India.
   
 2. Josephine

  Josephine Verified User

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni lini nayeye atatambua kuwa anapaswa kuwajibika mbele ya Tanzania.

  Amebaki kusema anaonewa na anapitia magumu,je yeye hajawa sababu ya watanzania kuwa na hali mbaya?
  Ni lazima atubu mbele ya Mungu na mbele ya watanzania kisha tusonge mbele.
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mh.Kilango naye alihudhulia ibada hiyo
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  inmaonekana now watakao amua nani awe rais wa TZ 2015 wako makanisani tu....

  na ndo maana wote wako bize na makanisa....

  interesting now kuna makanisa yanamsafisha Lowassa na kumtangaza the next President....

  sijui Lowassa akishakuwa Rais wa Tz

  Sitta na Mwakyembe watalia kilio gani.....sijui....
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wafu wanakokotana
   
 6. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  wamesema nini?siku yaja ya nini?kanisa lipi?au kule kwa kitukuu wa ng'wanamalunde,GWAJIMA?
   
 7. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mtu ambaye hana elimu utamjua tu habari yake huwa haieleweki
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama upo UZINI Zanzibar na mzee hebu tumwagie data basi kama Ifakara
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu mwongozo tafadhari jinsi ya kuanzisha kanisa,nisije koswa mwana na maji ya moto bureee.
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  By the way watu ahwahudhurii ibada bali wanashiriki...
   
 11. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ipo siku yaja...atatakiwa aeleze alivyosimamia utekelezaji wa maazimio ya bunge juu ya Richmond, na alishiriki vipi kuwanyamazisha wabunge walotaka kujua hatma ya hilo swala!
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Hakika kweli ni Mungu ndie aliyenifikisha hapa nilipo; kama si maombi yenu kwa kweli mngekuwa mshanizika.

  Si mimi ni maneno ya mh Mwakyembe ambae yuko hapa kawe kanisa la Gwajima ufufuo na uzima akifatana na Mh Sitta na Anne Kilango.......

  Mh anazidi kuongea, amekiri kuna uchafu mkubwa ndani ya viongozi wa nchi hii na kama mungu atasimama na watu kadhaa basi pigo la nchi hii linaweza kuwa baya zaidi..anaendelea kusema

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG][​IMG]
   

  Attached Files:

 13. k

  kiche JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi awa watu wanaojiita wapiganaji wa ufisadi hawana jipya, ni midomo tu subiri 2014 watakavyoanza kubwabwaja mpaka mapovu yanavyowatoka, sitta ndiye mnafiki mkuu kwa jinsi alivyomaliza suala la richmond ni sawa na picha/filamu za kibongo ambapo mwisho wake uwa ni upupu mtupu.

  Mwakyembe aliamua kuficha sehemu ya taarifa ili kuilinda serikali,kilango kwa sasa hata kumsikiliza bungeni unapata kichefuchefu!namkumbuka anna abdallah kwenye bunge lililopita aliwai kusema si kwamba hao watu wana uchungu na nchi zaidi yao bali wanajua kupiga kelele, ukweli sasa unajidhihirisha na kamwe siwezi kuwaamini tena.
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  eh yamekuwa hayo tupe update za huko vp anatoa ushuhuda au
   
 15. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tuna subiri kwa hamu habari...
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huyu Sitta ni mnafiki sana kiasi kwamba ingekuwa China angekuwa ameshanyongwa!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Steve Dii... with all due respect,

  Nachelea kusapoti taip ya Sitta na Mwakyembe kwani naona wanatumia shida zao kama mitaji ya kisiasa na kutafuta sympathy in rather a self centered manner, tangu nianze kusikia ipo siku, nikirudi ntasema yote, namwachia mungu nk. napata shida sana kujua lengo hasa la hawa watu zaidi ya kututmia kama mitaji ya scores zao

  A true leader stand up, share his vision and walk to talk.... LEO HII UKIULIZA SITTA/MWAKYEMBE, vision yao ni ipi watasema public sympathy

  i am done and down with these two political muppets!!
   
 18. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  mh sitta anne kilango ndio nani!? Hebu tulia na uandike vizuri! Sio unaandika kama unakimbizwa kama unavuta bangi acha kwanza!
   
 19. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  vzr mtoa taarifa ukajikita ktk kutoa taarifa yenye kueleweka,umeanza vzr lakn hapo kat maelezo hayaeleweki,tuambie huko kanisani kulikuwa na nin,sita alikuwa nan,mwakyembe alizungumzia nin hasa na mrs.malecela amesema nin walau tupate picha na kuweza kucomment,tusaidie mkuu kwa hlo.
   
 20. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dr mzima kwa Gwajima anafuata nini? Wanasiasa wanaamini sana USANII
   
Loading...