Mwakyembe, matter of time? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakyembe, matter of time?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Feb 21, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukimwangalia Dr Harisson Mwakyembe alivyo sasa,halafu ukavuta hisia za alivyokuwa kabla hajafanyiwa umafia utagundua kuwa the guy has been killed, and it is only the matter of time before that happens! Najua wapo watakaonipinga, lkn Mwakyembe has changed a lot and still changing!

  Sidhani kama amethibitishiwa kuwa amepona kabisa, zaidi ya kuendelea na matibabu! Na ni kazi ya madaktari kumtia moyo mgonjwa, na waendelee hivyo! Na hata yeye mwenyewe Dr Mwakyembe ametupa matumaini kuwa amepona, lkn tukumbuke Yasser Arafat alivyoteswa na sumu na hatimaye kuuawa!

  Cha ajabu ni utata unaoendelea juu ya nini kalishwa hadi awe hivi? Watetezi wake wamemwacha, walioshangilia wakati anawasilisha report ya richmond bungeni wako wapi? Wanakamati wenzake wako wapi?

  Watanzania tuko wapi? Huyu mzee amebaki peke yake akipigania maisha yake. Nakumbuka baada ya kusoma report alisema kwa kujiamini kuwa haogopi mtu, lkn amenasa kwenye mtego na tuombe Mungu.

  Nawasilisha.
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Serikali ingetaka huyu bwana apone isingempeleka huko India; nchi inayojulikana duniani kwa mambo ya kuponya watu walioathirika kwa sumu kama Mwakyembe ni AUSTRIA!!! Makachelo wote wanalijua hili lakini kwavile wanataka kumsulubu wanajifanya hawajui.
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,328
  Trophy Points: 280
  Another prophet of doom!.
  Mungu ndiye mpangaji wa yote na ndie mweza wa yote!. Ni yeye pekee anayejua amepanga nini kwa maisha yake na lolote likitokea, huo ndio mpango wa Mungu!. Kumbuka "there is nothing new under the sun", lolote linaloweza kutokea sasa, limekwisha kutokea huko nyuma na likitokea litakuwa ndilo lililotakiwa kutokea na kwa muda ule uliopangwa!.

  Dr. Mwakiembe will live to tell, na ataishi maisha marefu kwa kadri Mungu alivyompangia!.

  Get well soon, sala na maombi ya Watanzania wenye mapenzi mema ni kumuombea uponyaji wa haraka ili arejee katika hali ya kawaida na kuendeleza mapambano ikiwa ni pamoja na kututegulia hiki kitendawili cha kutiliwa sumu!.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Inasikitisha!
  Jamaa anauawa bila hata kuangalia jinsi ambavyo amechangia pakubwa katika kuerevusha taifa letu akiwa Mwalimu Mlimani!
   
 5. N

  Nyalutubwi JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Tulikuwa tunayasikia kwa wenzetu lakini sasa yako nchini mwetu na yanasimamiwa vilivyo na Ccm.
  Lakini swali ni vipi unaweza kumtendea binadamu mwenzako unyama wa aina hii halafu wewe na familia yako bado mkaendelea kuishi kwa furaha na raha mstarehe?.
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kila nikimwangalia Mwakyembe amekuwa kama kimbulu,macho kama paka,anajaribu kutabasamu lakini unasoma kabisa maumivu aliyonayo moyoni,kweli ndio sababu kubwa inayonifanya nii chukie CCM na viongozi wao wote wa ngazi zote kuliko wakati wote wa maisha yangu ,sikutegemea kabla sijafa ningeshuhudia umafia huu kwenye nchi yangu nzuri niipendayo kwa moyo wote
   
 7. S

  Shansila Senior Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku moja niliona picha yake ya alivyo sasa ktk gazeti,nikalinganisha na picha ya alivyokuwa kabla,nililia machozi!He's trying to be the former self,but he's really isnt!It has all gone wrong for him!Hii tabia yetu ya kumwachia Mungu kila kitu ni mbaya,na akifa utasikia BWANA ALITOA,BWANA ALITWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!Kwa nn wasimpeleke hospitali ktk nchi zinazodili na sumu?
   
 8. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kwa mujibu wa Mh. Sita ngozi halisi ya Mh imetoka na aliyonayo sasa ni ngozi/leya ya nne!
  Ngoz yake inapukutika km vumbi/inageuka kuwa vumbi/mchanga
  Kuna kemiko imeonekana kweny uboho (bone marrow)
  Sasa anavaa glovu sijui kimetokea nn kwenye ngozi ya mikononi
  Anavaa kofia ndefu/pama inasemekana nywele zote zimeondoka
  Sasa analazimika kuvaa miwani, na hii si kawaida yake
  Sasa ana ngozi ya maji ya kunde, kiasili Mh. ni mweusi

  Ni waz hali si njema tunapaswa kumwombea mwenzet!
   
 9. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mwakyembe ! kweli inasikitisha ! ila malipo yapo hapa Duniani na Akhera inarudi Hesabu !
   
 10. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,543
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Na asipojua nani ndo ametumika kumwekea hiyo sumu ataongezewa dozi nyingine.
   
 11. nyamemba

  nyamemba JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Like iko wapi nikupe?
   
 12. S

  Shansila Senior Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haipo humu kamanda wangu!
   
 13. LUPITUKO

  LUPITUKO JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Haihitaji hata shule kujua huyu jamaa kwishnei! Nilikuwa nawaza hilo toka zamani ila inatisha sana kujua ukweli huo na kuusema wazi, ndo maana wajinga wanasema eti kifo ni kazi ya Mungu ndie anapanga. Mungu hapangi vifo vya aina hii hata cku moja. Jamaa anakufa akitetea taifa na inasikitisha kweli kwamba kwa sasa anakufa peke yake watanzania tunaangalia tu!
   
 14. G

  Gryphn Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Watanzia lazima tujiulze n kwel wale wanaopigania maendeleo ndo wanaotaka kuuawa na kulishwa sumu hu n ukwel kwamba kuna mipango juu ya akina mwakyembe na zito
   
 15. S

  Shansila Senior Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binadamu wengi wetu ni wanafiki,tunambebesha Mungu kazi zetu na za ibilisi!Jamaa alikuwa vitani,front line,akaanzisha mashambulizi akijua tuko naye!Mara kapigwa kombora,kugeuka nyuma,heh!wote tumesepa na tunamshangaa!Binadamu akifa ndo mambo husemwa,ooh nilijua tu jamaa hachomoki,ooh alishakufa kitambo huyo!Ukiwa mgonjwa watu wanakutia moyo,nawe unaamini kuwa utaishi!Lkn kaka LUPITUKO umenena,haihitaji hata shule ya chekechea kuwa jamaa kwishney karega!Wabishi na waendelee kubisha!
   
 16. ismathew

  ismathew JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni ukweli usiopingika, kwa sababu Radiobiological effect, ni mkusanyiko wa radiotion doses.
  ambao unaua kwa kiasi kikubwa cells katika mwili, na bone marrow is most sensitive target organ
  after intake of Polonium-210, na kuathiri kwa kiasi kikubwa other organs vilevile.
  Hapo ndio tuseme maisha ya Dr. Mwakyembe, yako katika hatari ya hali ya juu sana kwa lolote
  lile linaweza kutokea. Na mimi ninachoshukuru kwa uchangiaji na wachangiaji wote humu JF. kuhusu swala
  hili, ambapo limemfanya Dr. Mwakyembe, kutoa na kuweka hadharani na kuwaelezea Watanzania
  ni kwa jinsi gani, alivyotegeshewa Polonium-210, pamoja na kuwataja wahusika.
  Sasa ni wakati wa DCI Manuba, atuonyeshe ujasiri wake wa kufanya kazi, kwa sababu Dr. Mwakyembe
  kesha rahisisha kazi, Watanzania tunalingojea hilo.
   
 17. v

  valour Senior Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huwa napata shida watu wanaposema kwamba litakalotokea ndilo Mungu amepanga. Mungu anasingiziwa vitu vingi sana. Mungu always anatuwazia mawazo yaliyomema sio ya kutuangamiza lakini yakutupa matumaini ya baadae.

  Jeremiah 29: [SUP]11[/SUP] For I know the plans I have for you,” declares the LORD, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.

  Sasa iweje leo apange mtu wake adhurike. Lazima uelewe kuna watu wanakufa kabla ya mpango wa Mungu. Waingereza wanaita 'premature death'. Hata hiyo biblia haiko kimya Ecclesiastes 7: 17 “Do not be overwicked, and do not be a fool— why die before your time?”

  Mungu anataka tuishi maisha marefu unless ana sababu tofauti itawekwa wazi. Psalm 90:[SUP]10[/SUP] The length of our days is seventy years— or eighty, if we have the strength; yet their span is but trouble and sorrow, for they quickly pass, and we fly away.

  Yaliyotokea kwa Mwakyembe haukuwa mpango wa Mungu. Hata kama alimkosea mtu kama baadhi ya watu wanavyosema lakini hakustahili hiyo adhabu maana kisasi ni cha Bwana peke yake.

  Tuishi maisha ya kumpendeza Mungu na tutapewa maisha marefu.

  Proverbs 3:[SUP]1[/SUP]“My son, do not forget my teaching, but keep my commands in your heart, [SUP]2[/SUP] for they will prolong your life many years and bring you prosperity.!
   
 18. S

  Shansila Senior Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee uzalendo umemponza,anatangulizwa kabla ya wakati wake.
   
 19. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HIII ya kusema malipo kwa Mungu muuuuh hapana wazelendo kwa Mungu mbali kwani hawa mafia hatuwajui!!!! kwanini watanzania tumelala usingizi huu, tunatakiwa tuamke tuwawajibishi hawa mafia kwanza kwa kukitoa chama chao madarakani
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  na makanisa yamemsaliti pia......
   
Loading...