ukimwangalia dr harisson mwakyembe alivyo sasa,halafu ukavuta hisia za alivyokuwa kabla hajafanyiwa umafia utagundua kuwa the guy has been killed, and it is only the matter of time before that happens! Najua wapo watakaonipinga, lkn mwakyembe has changed a lot and still changing!
Sidhani kama amethibitishiwa kuwa amepona kabisa, zaidi ya kuendelea na matibabu! Na ni kazi ya madaktari kumtia moyo mgonjwa, na waendelee hivyo! Na hata yeye mwenyewe dr mwakyembe ametupa matumaini kuwa amepona, lkn tukumbuke yasser arafat alivyoteswa na sumu na hatimaye kuuawa!
Cha ajabu ni utata unaoendelea juu ya nini kalishwa hadi awe hivi? Watetezi wake wamemwacha, walioshangilia wakati anawasilisha report ya richmond bungeni wako wapi? Wanakamati wenzake wako wapi?
Watanzania tuko wapi? Huyu mzee amebaki peke yake akipigania maisha yake. Nakumbuka baada ya kusoma report alisema kwa kujiamini kuwa haogopi mtu, lkn amenasa kwenye mtego na tuombe mungu.
Nawasilisha.
Tumaniniel unajidanganya!utasubiri sana!Ninyi ndo watu wachache msioelewa nchi inakokweda.pole.
Ukimwangalia Dr Harisson Mwakyembe alivyo sasa,halafu ukavuta hisia za alivyokuwa kabla hajafanyiwa umafia utagundua kuwa the guy has been killed, and it is only the matter of time before that happens! Najua wapo watakaonipinga, lkn Mwakyembe has changed a lot and still changing!
Sidhani kama amethibitishiwa kuwa amepona kabisa, zaidi ya kuendelea na matibabu! Na ni kazi ya madaktari kumtia moyo mgonjwa, na waendelee hivyo! Na hata yeye mwenyewe Dr Mwakyembe ametupa matumaini kuwa amepona, lkn tukumbuke Yasser Arafat alivyoteswa na sumu na hatimaye kuuawa!
Cha ajabu ni utata unaoendelea juu ya nini kalishwa hadi awe hivi? Watetezi wake wamemwacha, walioshangilia wakati anawasilisha report ya richmond bungeni wako wapi? Wanakamati wenzake wako wapi?
Watanzania tuko wapi? Huyu mzee amebaki peke yake akipigania maisha yake. Nakumbuka baada ya kusoma report alisema kwa kujiamini kuwa haogopi mtu, lkn amenasa kwenye mtego na tuombe Mungu.
Nawasilisha.
Leo Rais Magufuli akiwa Kyela, ameligusia kidogo hili jambo kuwa Mwakyembe alitiliwa sumu.Another prophet of doom!.
Mungu ndiye mpangaji wa yote na ndie mweza wa yote!. Ni yeye pekee anayejua amepanga nini kwa maisha yake na lolote likitokea, huo ndio mpango wa Mungu!. Kumbuka "there is nothing new under the sun", lolote linaloweza kutokea sasa, limekwisha kutokea huko nyuma na likitokea litakuwa ndilo lililotakiwa kutokea na kwa muda ule uliopangwa!.
Dr. Mwakiembe will live to tell, na ataishi maisha marefu kwa kadri Mungu alivyompangia!.
Get well soon, sala na maombi ya Watanzania wenye mapenzi mema ni kumuombea uponyaji wa haraka ili arejee katika hali ya kawaida na kuendeleza mapambano ikiwa ni pamoja na kututegulia hiki kitendawili cha kutiliwa sumu!.
Alimgusia nn kaka mana wengine tupo kijijinLeo Rais Magufuli akiwa Kyela, ameligusia kidogo hili jambo.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
P.
Na kuwasigina wapinzani?Inasikitisha!
Jamaa anauawa bila hata kuangalia jinsi ambavyo amechangia pakubwa katika kuerevusha taifa letu akiwa Mwalimu Mlimani!
Rais Magufuli amethibitisha Mwakyembe alitiliwa sumu. Uthibitisho huu unathibitisha Jeshi letu la polisi ni hopeless kwenye solving serious crimes kama hii, kama aliyetendwa hivi ni waziri na yuko serikalini, na alikuwa waziri wa sheria, DPP yuko chini yake, hawakuweza kuchunguza tukio hili, what are the chances kwa uchunguzi wa tukio la Lissu?.Alimgusia nn kaka mana wengine tupo kijijin
Rais Magufuli amethibitisha Mwakyembe alitiliwa sumu. Uthibitisho huu unathibitisha Jeshi letu la polisi ni hopeless kwenye solving serious crimes kama hii, kama aliyetendwa hivi ni waziri na yuko serikalini, na alikuwa waziri wa sheria, DPP yuko chini yake, hawakuweza kuchunguza tukio hili, what are the chances kwa uchunguzi wa tukio la Lissu?.
P.
Hawa Mandata wetu wa siku hizi, .. we acha tuu!.Ni kama baadhi ya matukio Manjagu hupigwa 'stop' kufanya uchunguzi.
DuuuhKwa mujibu wa Mh. Sita ngozi halisi ya Mh imetoka na aliyonayo sasa ni ngozi/leya ya nne!
Ngoz yake inapukutika km vumbi/inageuka kuwa vumbi/mchanga
Kuna kemiko imeonekana kweny uboho (bone marrow)
Sasa anavaa glovu sijui kimetokea nn kwenye ngozi ya mikononi
Anavaa kofia ndefu/pama inasemekana nywele zote zimeondoka
Sasa analazimika kuvaa miwani, na hii si kawaida yake
Sasa ana ngozi ya maji ya kunde, kiasili Mh. ni mweusi
Ni waz hali si njema tunapaswa kumwombea mwenzet!
Ana. Muda gani madarakani hajalisemea wakati huyo ni Waziri wake? Mambo mengine ni kaMpeni tuuLeo Rais Magufuli akiwa Kyela, ameligusia kidogo hili jambo kuwa Mwakyembe alitiliwa sumu.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
P.