Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,333
mkuu kuna wakati una kauonaji na utabiri ndani yakoLeo Rais Magufuli akiwa Kyela, ameligusia kidogo hili jambo kuwa Mwakyembe alitiliwa sumu.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
P.
Another prophet of doom!.
Mungu ndiye mpangaji wa yote na ndie mweza wa yote!. Ni yeye pekee anayejua amepanga nini kwa maisha yake na lolote likitokea, huo ndio mpango wa Mungu!. Kumbuka "there is nothing new under the sun", lolote linaloweza kutokea sasa, limekwisha kutokea huko nyuma na likitokea litakuwa ndilo lililotakiwa kutokea na kwa muda ule uliopangwa!.
Dr. Mwakiembe will live to tell, na ataishi maisha marefu kwa kadri Mungu alivyompangia!.
Get well soon, sala na maombi ya Watanzania wenye mapenzi mema ni kumuombea uponyaji wa haraka ili arejee katika hali ya kawaida na kuendeleza mapambano ikiwa ni pamoja na kututegulia hiki kitendawili cha kutiliwa sumu!.