IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,850
this is quite a new revelation
And your govt will never tell you this!
this is quite a new revelation
Zanzibar-ASP
Kwenda wewe watanzania sio wajinga.mjinga wewe uliekosa uzalendo
Kwani ameshindwa au ametolewa kwenye wizara hiyo na kupelekwa wizara ya Afrika Mashariki?
Dawa au suluhu ni kuboresha viwanja na kuwa na national carrier vinginevyo sahau kukuza utalii kwa kumtegemea jirani
Najaribu kijiuliza. Hivi kwanini watalii hao wasitumie uwanja wa KIA ili kutembelea Tanzania? Kwanini washukie Nairobi? Inawezekana hatujatangaza vizuri kule Ulaya na Amerika vivutio vyetu na njia sahihi za kupita. Nadhani ndiyo kazi aliyotaka kuifanya Aunty Ezekiel, bahati mbaya au nzuri akadungwa mimba na mheshimiwa! Si vibaya kuanza upya, Promo jamani promo ndio mambo yote.
sasa wewe.ndo unataka tuwabembeleza hao mazombi Tanzania will be loser on what coz wakwenya ndo wanalose ndo maana wanaangaika wanadiliki hata kukiuka makubaliano coz viwanja vya ndege havikuwa kwenye list ya vituo vya utalii zinduka wewe acha kuwa tegemezi
unajua hadhi ya viwanja vya ndege wewe hivi hapo JKIA ushawai kufika na unajua sifa ya uwanja wa ndege ni nini.
kuwa na logic kwenye hoja nitajie ndege gani haiwezi tua JNIA kama antonov 225 ilitua bila shida yoyote ipi haiwezi
Watanzania iko na maneno mengi na matarajio ya kusadikika lakini utendaji ni sifuri.Wakenya walishazoea enzi za ujinga na giza waliitimia hio fursa kijipatia ukwasi/utajiri na matangazo yao ya uongo kuwa Mlima Kilimanjaro na Bunga ya Serengeti ni yao.
Tofauti na ilivyo sasa ukweli na uongo viko wazi mpaka kwa Wazungu wengi baada ya Serikali yetu kujitahidi kutangaza nje ya Nchi kuwa Mount Kilimanjaro na Serengeti National Park ziko TANZANIA NA SIO KENYA.
Kilio cha kukosa mapato lukuki kimeongezeka kwa Wakenya.Lakini pia hilo ni shinikizo la mshirika wao mpya wa kiuchumi (Kagame) na mbinu zao za kuhakikisha wanatuvuruga Kiuchumi na Kisiasa.
maskini poor you ningeshauli ufatilie vizuli ili swali ndo aunza comment co hapo wewe ndo unaonekana kilaza
zinduka wewe