Mwakyembe: Hatupo tayari kuburuzwa na Kenya

Najaribu kijiuliza. Hivi kwanini watalii hao wasitumie uwanja wa KIA ili kutembelea Tanzania? Kwanini washukie Nairobi? Inawezekana hatujatangaza vizuri kule Ulaya na Amerika vivutio vyetu na njia sahihi za kupita. Nadhani ndiyo kazi aliyotaka kuifanya Aunty Ezekiel, bahati mbaya au nzuri akadungwa mimba na mheshimiwa! Si vibaya kuanza upya, Promo jamani promo ndio mambo yote.

Serikali ya Tanzania iliubinafsisha uwanja wa KIA kwa wawekezaji kutoka Uholanzi, wapiga deal wa 10% wana za kwao kila mwaka.....kushusha ndege pale ni ghali sana mkuu ndio maana mashirika mengi ya ndege yana-opt ku-land Jomo Kenyatta Airport.

Cha kufanya ni ama serikali yetu ishushe bei ya landing fees au ivunje mkataba na waholanzi
 
Nakumbuka ile ya ushuru Road Toll malori wanyarwanda walivyotushikisha adabu tukanywea.Watanzania hovyo kabisa!!!
 
Najaribu kijiuliza. Hivi kwanini watalii hao wasitumie uwanja wa KIA ili kutembelea Tanzania? Kwanini washukie Nairobi? Inawezekana hatujatangaza vizuri kule Ulaya na Amerika vivutio vyetu na njia sahihi za kupita. Nadhani ndiyo kazi aliyotaka kuifanya Aunty Ezekiel, bahati mbaya au nzuri akadungwa mimba na mheshimiwa! Si vibaya kuanza upya, Promo jamani promo ndio mambo yote.

KIA kilivyo na cha DAR kilivyo havina hadhi ya kuhudumia makampuni mengi ya ndege kama KENYATTA inanvyofanya
 
Mgeni aliyechagua kuja tanzania atakuja tuu! Tukiachana na kupeleka wageni kenya mashirika ya ndege ya nchi nyingine atafanya option muafaka! Cha msingi create a problem to solve a problem!

Lah hizo gari ndio zilikuwa zinanifanye nisipande Dar Express au via Noah pale Arusha nikienda Nairobi,sasa bila watalii wa kuchepuka JKA ina maana biashara ndio kwishney sijui madereva wale lukuki na familia zao wataishi vipi.
 
"mtegemea cha nduguye hufa masikini" wahenga alisha sema
 
Serikali ya Tanzania iliubinafsisha uwanja wa KIA kwa wawekezaji kutoka Uholanzi, wapiga deal wa 10% wana za kwao kila mwaka.....kushusha ndege pale ni ghali sana mkuu ndio maana mashirika mengi ya ndege yana-opt ku-land Jomo Kenyatta Airport.

Cha kufanya ni ama serikali yetu ishushe bei ya landing fees au ivunje mkataba na waholanzi
this is quite a new revelation
 
Najaribu kijiuliza. Hivi kwanini watalii hao wasitumie uwanja wa KIA ili kutembelea Tanzania? Kwanini washukie Nairobi? Inawezekana hatujatangaza vizuri kule Ulaya na Amerika vivutio vyetu na njia sahihi za kupita. Nadhani ndiyo kazi aliyotaka kuifanya Aunty Ezekiel, bahati mbaya au nzuri akadungwa mimba na mheshimiwa! Si vibaya kuanza upya, Promo jamani promo ndio mambo yote.
Shida ni sisi tumewaachia wageni uwanja wetu KIA, wameweka landing fee kubwa, wacha tukome "SHIDA HULETA MAARIFA"
 
Kwani ameshindwa au ametolewa kwenye wizara hiyo na kupelekwa wizara ya Afrika Mashariki?

Ok vizuri sana, kumbe amefanikiwa kuifufua ATC na ameiacha na ndege za kutosha. Sikujua hilo.
 
Nani amesema kaifufua ATC mkuu? Nimekujibu tu kuwa hakujiondokea yeye ila alihamishwa wizara....take my point,
 
Najaribu kijiuliza. Hivi kwanini watalii hao wasitumie uwanja wa KIA ili kutembelea Tanzania? Kwanini washukie Nairobi? Inawezekana hatujatangaza vizuri kule Ulaya na Amerika vivutio vyetu na njia sahihi za kupita. Nadhani ndiyo kazi aliyotaka kuifanya Aunty Ezekiel, bahati mbaya au nzuri akadungwa mimba na mheshimiwa! Si vibaya kuanza upya, Promo jamani promo ndio mambo yote.

Labda kukusaidia wageni wengi wanaingilia Kenya kwa kuwa cheap flights toka Ulaya ana connections za kufa mtu na kufika Kenya inakuwa cheap kwao . Jaribuni kutembea kidogo mjue Dunia na si kushinda hapa JF , lakini pamoja na ay Wakenya waende zao .Watuache na sisi tutawabana kwa mengi ni serikali kuamua tuna anza na Uchumi na Nakumatt vimetoka Kenya . They are not safe wakianza ujinga .
 
Uhuru kenyatta ni rais bana sio huyu traveller wetu! Nyerere alichukua maamuzi magumu kufunga ile sehemu kwa maslahi ya tanzania, na kenyatta kachukua maamuzi magumu kazuia magari kwa maslahi ya wakenye sasa shutuma zinatoka wapi?!!
 
Haya watalii wanaingilia TZ au Kenya? Tunashindwa nini kupandisha kiingilio kwa watalii wanaoingilia Kenya? Hivi kweli tumejiridhisha kuwa bila kuendelea kuwapembeleza Wakenya tutapoteza utalii? Maamuzi magumu hayakwepeki ili kuwarudisha Kenya kwenye mstari. Tukienda kujadiliana nao katika mazingira ya shinikizo Tanzania will be losers. Tafakari.
 
Dawa au suluhu ni kuboresha viwanja na kuwa na national carrier vinginevyo sahau kukuza utalii kwa kumtegemea jirani
 
Tanzania bado sana. Viongozi waoga na wajinga, wananchi waoga na wajinga kabisa. For this I support Kenya 100%. Why? Hawana muda wa kuchekacheka na mburula wa Msoga.

Serikali ya Tanzania badala ya kuchukua hatua kali na madhubuti wanabaki kulalamika, kulaani, kunywea na kubembeleza. Poor Tanzania.

maskini poor you ningeshauli ufatilie vizuli ili swali ndo aunza comment co hapo wewe ndo unaonekana kilaza
zinduka wewe
 
Leo hii tungekuwa na shirika imara la ndege yote haya yasingelikuwepo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom