Kwani tatizo kutua tu haya unaondoka umechelewa ndege kwa sababu ya foleni la dar where is the alternative to leave the country soon?
Next time ukitaka usichelewe kuna hotel gani ya hadhi karibu yenye kuweza kukulaza, au hata ukisema next time uwahi masaa mawili kabla what do you do to waste time kuna mgahawa gani wa hadhi wa chakula.
Kwa wenzetu heathrow airport sio uwanja wa ndege tu bali una economic strategy asilimia 75% ya makampuni makubwa UK yapo near heathrow na mahoteli luluki wewe unaekuja kibiashara una maliza mambo yako huko huko, ukitaka kwenda mjini kuna access za city kibao.
Airport yetu aina hata sehemu ya maana ya ku-chill ukiwahi kufika na ukisema uvute muda foleni la dar unaweza kuikosa ndege hivihivi.
Tufanye mambo kileo wakenya are advanced in their plans and they take business serious, haya yote kwa sababu we dont do enough to improve our service sectors tunategemea sana bidhaa zetu zijueze zenyewe. Wengine wameshaona hiyo weakness ndio maana wao wana angaika na kuongeza ubora wa service and it is paying off at the tune of almost $2billion annually on tourism destined for Tanzania.
Ifike wakati uzembe tuuite uzembe and nothing else 30 years ujafanya lolote in terms of improvement aisee hapana.