Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 548
- 377
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) aliyoifanya jijini Bujumbura, nchini Burundi kushiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (The 7th Joint Permanent Commission for Cooperation – JPC), unaolenga kupitia hali ya utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano na kuweka mikakati ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya nchi hizo mbili.