Ile tu kutoa na kuanza kubishana ni ukosefu wa weledi na ujinga!! Hoja iko pale pale hasa mwaki-embe alipokana makala yake ya kisomi kuhusu serikali tatu. Wasomi wanakuwa UDSM ila wakiingia bungeni wanageuka zumbukuku wa kawaida tu. Heko Sugu kwa kumpa za chembe huyu msomi mchumia tumbo!!Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!
Kwa kweli hawa Wabunge wa CHADEMA sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa CHADEMA!
Msomi huyu aligundua kuwa, Taifa letu laweza kunawiri kwa kukubali kuwa na mfumo wa serikali tatu. Bahati mbaya sana hamkumuunga mkono. Tafuta maandishi yake utalikuta hili.[/QUOTE][QUOTE ung'o boy, post: 16434460, member: 160761] Huyo msomi kagundua nin cha maana au katuletea nin cha maana, usikute hata ki IQ kazidiwa basi tu alipata bahati ya kusoma
Mkuu si mawaziri tu ccm wote huwa hawajengi hoja na siyo kwamba hawajui bali hawataki kwa sababu ya kudekezwa na chama dola. Wanajua kuwa watakuwa na back up ya chama na selekaliMwakyembe yupi, au ni Harrison huyu waziri wa sheria aliyeomba mwongozo wa hovyo juzi kuhusu wabunge wa upinzani kunyimwa posho? Kama ni yeye afadhali hata ya Sugu ana uwezo wa kujenga hoja. Mawaziri walio wengi wa CCM ni mizigo.
Dawa yake ni lissu tu huwa anajificha chini ya viti akisikia saut ya lissu
Big up mkuu umewaza kwa akili kubwaHana lolote huyo kasoma nini Yeye? Usomi huo wa kifisadi una faida gani kwa Taifa? Kule Airport alipiga 10% Ujenzi wa majengo mapya na Treni toka mjini hadi Airport, Bandarini alipiga Dili kibao akapenyeza Ukabla akawaajili ndugu zake kibao, PhD za kununua mabehewa Feki, kuchakachua reports ya Richmond hizo zina manufaa gani? Mbona Dr Slaa na prof Lipumba ni Wasomi lakini walirubuniwa na Div four Nape Nnauye pia Div zerooo form six January Makamba, Wanaojiita Wasomi CCM wote ni Mafisadi angalia tabia za Chenge, werema, Tibaijuka, Kapuya, mbilinyi, ngereja na wenzao zinafanana na Tabia za Ally kessy?
Profesa maji marefuDah....yaani wapinzani wana Elimu ndogo sana wanashindwa hata na Migambo
Ndo hivyoooProfesa maji marefu
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, vipi kuhusu maji marefu alimaliza wapi?Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!
Kwa kweli hawa Wabunge wa CHADEMA sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa CHADEMA!
Sawa ni kidato cha pili,twambie kibajaji kaishia kidato cha ngapi?Sugu kaishia kidato cha pili tu.
MwakyembeKwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?
Huyo ni mlinda duka la ushirika simiyuMwenzako ni mheshimiwa wewe uliyesoma unamzidi nini? Jihoji.
Akili zake kwa sasa zipo kama za Agnes marwa.Mwakyembe ni vuvuzela na mropokaji!