Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,047
- 134,349
mwakyembeHivi kati ya Mwakyembe na Billgate nani kasoma sana?
mwakyembeHivi kati ya Mwakyembe na Billgate nani kasoma sana?
Siku chache zilizopita waziri wa
sheria na katiba Dr. Harrison
Mwakyembe alisema ni makosa
msanii wa mbeya (sugu)
ambaye hakumaliza shule
kumtilia shaka au kumkosoa
mtu mwenye elimu ya juu ya
PHD.
Kauli hii ya mwakyembe
imenifanya kutafakari,kufanya
reseach na kutafiti kwa kina
kama ni kweli mtu wa elimu ya
chni hawezi kumkosoa,kumtilia
shaka au kumsahihisha mtu
mwenye elimu ya juu.
Kauli ya mheshimiwa
mwakyembe ilijaa dharau na
kebehi zidi ya mbunge
mwenzake mheshimiwa Joseph
Mbilinyi.Mheshimiwa
mwakyembe alimaanisha kana
kwamba ukiwa na PHD basi
unajua kila kitu na huwezi
kukosolewa ama kutiliwa shaka
na mtu mwenye elimu ya chini
kitu ambacho hakina ukweli
wowote na nitatolea mifano
kadhaa.
MFANO wa 1.Rais mstaafu
Jakaya Mrisho Kikwete alimfuta
kazi Sospeter Muhongo ambaye
ni profesa mwenye elimu
kubwa kuliko mwakyembe na
badala yake akamuweka George
Simbachawene mwenye elimu
ndogo kuliko
mwakyembe.kikwete hapa
hakuangalia elimu bali aliangalia
uzoefu,nidhamu na uwajibikaji.
MFANO.wa 2..Rais mtaafu
kikwete alimufuta kazi Ana
Tibaijuka ambaye ni profesa
elimu kubwa kuliko ya
mwakyembe na badala yake
akamuweka william lukuvi
mwenye elimu ya chini kuliko
mwakyembe.
MFANO WA 3..Rais wa sasa John
Magufuli alimteuwa kassimu
majaliwa kuwa waziri mkuu na
kumuacha harrison
mwakyembe mwenye elimu ya
juu kuliko majaliwa ,,,Kitu
alichozingatia rais magufuli ni
uwezo wa mtu,uwajibikaji na
uzoefu.
Kama mheshimiwa mwakyembe
anaona ni makosa kukosolewa
na kusahihishwa na mtu
ambaye elimu yake iko chini
kuliko yake basi anapaswa
kupinga waziri mkuu
mheshimiwa majaliwa ambaye
ni boss wake asimsimamie wala
kumkosoa ikiwezekana ajiuzuru
kulinda PHD yake.
Nilichogundua katika utafiti
wangu nimegundua PHD ya
mwakyembe haina utofauti na
PHD ya Dk Rutengwe aliyekuwa
mkuu wa mkoa wa morogoro
na alivyofutwa kazi na
mheshimiwa rais magufuli
dr.Rutwenge alisema hana pa
kwenda pamoja na kwamba
ana elimu ya PHD.
Dk Rutengwe alipofutwa kazi
alilia na kuomba msamaha kwa
rais magufuli kuwa hana kwa
kwenda na atakufa njaa kwa
kuwa amefutwa kazi pamoja na
kwamba Dk Rutengwe ni
msomi wa shahada ya uzamili
yani PHD kama mwakyembe
lakini aliona hana kwa kwenda
wakati huo vyuo na mataasisi
kibao yanatafuta wafanyakazi
wenye elimu kama yake
Kama mheshimiwa mwakyembe
ameshindwa kutatua kero ya za
barabara za muda mrefu
jimboni kwake kyera ususani
kyela mjini,ipinda,matena n.k
kwa zaidi ya miaka 11
aliyoongoza kwa nini PHD yake
isiwe sawa na ya Dk Rutengwe?
Je kati ya joseph mbilinyi na
mwakyembe yupi ni mzigo
jimboni kwake?Yupi ni mbunge
hewa jimboni kwake?Je
unaweza kufananisha utendaji
wa kazi wa mwakyembe
jimboni kwake kyela na utendaji
wa joseph mbilinyi (sugu)
jimboni kwake mbeya mjini?
Mwambieni mwakyembe watu
wenye PHD huwa sio
wakurupukaji na waropokaji
kama yeye mara nyingi watu wa
PHD ni watu wa kutafakari na
kutafiti kabla ya kutoa hoja bila
shaka PHD ya mwakyembe
itakuwa ya uganga wa kienyeji.
Mwakyembe aache dharau, kwanza sijaona mchango wowote wa hao wajiitao wasomi wa PhD hasa walioko bungeni, wamekuwa wanafiki wakubwa pale maslahi ya nchi yanapochezewa kwa maslahi ya kisiasa ya mabwana wakubwa wao
Siku chache zilizopita waziri wa
sheria na katiba Dr. Harrison
Mwakyembe alisema ni makosa
msanii wa mbeya (sugu)
ambaye hakumaliza shule
kumtilia shaka au kumkosoa
mtu mwenye elimu ya juu ya
PHD.
Kauli hii ya mwakyembe
imenifanya kutafakari,kufanya
reseach na kutafiti kwa kina
kama ni kweli mtu wa elimu ya
chni hawezi kumkosoa,kumtilia
shaka au kumsahihisha mtu
mwenye elimu ya juu.
Kauli ya mheshimiwa
mwakyembe ilijaa dharau na
kebehi zidi ya mbunge
mwenzake mheshimiwa Joseph
Mbilinyi.Mheshimiwa
mwakyembe alimaanisha kana
kwamba ukiwa na PHD basi
unajua kila kitu na huwezi
kukosolewa ama kutiliwa shaka
na mtu mwenye elimu ya chini
kitu ambacho hakina ukweli
wowote na nitatolea mifano
kadhaa.
MFANO wa 1.Rais mstaafu
Jakaya Mrisho Kikwete alimfuta
kazi Sospeter Muhongo ambaye
ni profesa mwenye elimu
kubwa kuliko mwakyembe na
badala yake akamuweka George
Simbachawene mwenye elimu
ndogo kuliko
mwakyembe.kikwete hapa
hakuangalia elimu bali aliangalia
uzoefu,nidhamu na uwajibikaji.
MFANO.wa 2..Rais mtaafu
kikwete alimufuta kazi Ana
Tibaijuka ambaye ni profesa
elimu kubwa kuliko ya
mwakyembe na badala yake
akamuweka william lukuvi
mwenye elimu ya chini kuliko
mwakyembe.
MFANO WA 3..Rais wa sasa John
Magufuli alimteuwa kassimu
majaliwa kuwa waziri mkuu na
kumuacha harrison
mwakyembe mwenye elimu ya
juu kuliko majaliwa ,,,Kitu
alichozingatia rais magufuli ni
uwezo wa mtu,uwajibikaji na
uzoefu.
Kama mheshimiwa mwakyembe
anaona ni makosa kukosolewa
na kusahihishwa na mtu
ambaye elimu yake iko chini
kuliko yake basi anapaswa
kupinga waziri mkuu
mheshimiwa majaliwa ambaye
ni boss wake asimsimamie wala
kumkosoa ikiwezekana ajiuzuru
kulinda PHD yake.
Nilichogundua katika utafiti
wangu nimegundua PHD ya
mwakyembe haina utofauti na
PHD ya Dk Rutengwe aliyekuwa
mkuu wa mkoa wa morogoro
na alivyofutwa kazi na
mheshimiwa rais magufuli
dr.Rutwenge alisema hana pa
kwenda pamoja na kwamba
ana elimu ya PHD.
Dk Rutengwe alipofutwa kazi
alilia na kuomba msamaha kwa
rais magufuli kuwa hana kwa
kwenda na atakufa njaa kwa
kuwa amefutwa kazi pamoja na
kwamba Dk Rutengwe ni
msomi wa shahada ya uzamili
yani PHD kama mwakyembe
lakini aliona hana kwa kwenda
wakati huo vyuo na mataasisi
kibao yanatafuta wafanyakazi
wenye elimu kama yake
Kama mheshimiwa mwakyembe
ameshindwa kutatua kero ya za
barabara za muda mrefu
jimboni kwake kyera ususani
kyela mjini,ipinda,matena n.k
kwa zaidi ya miaka 11
aliyoongoza kwa nini PHD yake
isiwe sawa na ya Dk Rutengwe?
Je kati ya joseph mbilinyi na
mwakyembe yupi ni mzigo
jimboni kwake?Yupi ni mbunge
hewa jimboni kwake?Je
unaweza kufananisha utendaji
wa kazi wa mwakyembe
jimboni kwake kyela na utendaji
wa joseph mbilinyi (sugu)
jimboni kwake mbeya mjini?
Mwambieni mwakyembe watu
wenye PHD huwa sio
wakurupukaji na waropokaji
kama yeye mara nyingi watu wa
PHD ni watu wa kutafakari na
kutafiti kabla ya kutoa hoja bila
shaka PHD ya mwakyembe
itakuwa ya uganga wa kienyeji.
English please!Problem is not PHD, standard seven or whatever but the basic problem is PHD ACTIONS are not yet realized than mind-driven, personal interest-driven and slave-serving. I can only pick one action of which was revealed during NBC scandal.
Hiyo orodha yako ya mafisadi isiyokuwa na jina la Lowasa itakuwa feki.Hana lolote huyo kasoma nini Yeye? Usomi huo wa kifisadi una faida gani kwa Taifa? Kule Airport alipiga 10% Ujenzi wa majengo mapya na Treni toka mjini hadi Airport, Bandarini alipiga Dili kibao akapenyeza Ukabla akawaajili ndugu zake kibao, PhD za kununua mabehewa Feki, kuchakachua reports ya Richmond hizo zina manufaa gani? Mbona Dr Slaa na prof Lipumba ni Wasomi lakini walirubuniwa na Div four Nape Nnauye pia Div zerooo form six January Makamba, Wanaojiita Wasomi CCM wote ni Mafisadi angalia tabia za Chenge, werema, Tibaijuka, Kapuya, mbilinyi, ngereja na wenzao zinafanana na Tabia za Ally kessy?
Msomi ni msomi ni yupi msomi hapo? Kwani mwakyembe ni msomi? alisomea wapi? Usomi wa Mwakymbe ni feki Kama mabehewa feki Profesa maji marefu ni msomi kuliko mwakyembe.Nakumbuka kipindi cha kampeni 'slogan' ya Chadema "Elimu, Elimu , Elimu" !!! Kwenye inshu ya professional flani mfano Sheria mwache Dr. Mwakyembe amtolee nyodo Sugu., maana hata iweje Sugu hawez kubishana na Dr kwenye anga hizo sana sana aanzishe vagi. Msomi ni Msomi tu haswa yule asiye enda shule kukariri tu bali kutoka na uwelewa zaidi.
Richmond ni ya Kikwete ufisadi wa Lowasa ni upi?Hiyo orodha yako ya mafisadi isiyokuwa na jina la Lowasa itakuwa feki.
Mwakyembe ni darasa la nne felia zaidi.Sugu ni darasa LA saba felia....
Nape mwenyewe alipata Div 4 form four leo hii amekuwa Waziri wa kuchuja Habari zilizoandikwa na Wasomi kuliko yeye.. Mwakymbe ni msomi Feki aliyenunua mabehewa feki.Mbona nape na kinana wanamwita profesa magembe ni waziri mzigo sisi hatujasema kitu
Mwakymbe ana PhD Feki kama mabehewa Feki.mwakyembe toka aukane ule utafiti wake kuhusu muungano haaminiki tena...
Mwakyembe anaongoza kwa upumbafuKwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?