Hiyo picha uliyoweka ni ya mtu mwenye heshima yake katika sanaa ya nchi yetu. Maneno yako yatoe taswira yake vinginevyo utakuwa unamtukanisha.Kwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?
Lakini ana maono zaid yako ww!!Sugu kaishia kidato cha pili tu.
Bora Wa kidato cha pili anasimama na kutoa hoja zinazoeleweka kuliko PhD holder afu unatema pumba tuSugu kaishia kidato cha pili tu.
Upo gheto kwa Lugumi nini? Hao Wanaojiita wasomi akina Tibaijuka, Chenge, werema na wenzao wamefanya nini? Kivuko kibovu cha mwaka 1978 kilinunuliwa na wa darasa la saba? Chenji ya Bunge la katiba, Chenji ya Rada, mikataba mibovu yote husainiwa na darasa la saba? Hao mnaowaita wasomi ndiyo waliuza nyumba za Serikali, wamekausha madini Aridhini nk .Unataka mchanganuo wa kulinganisha manufaa ya Elimu kubwa na ndogo katika nchi hii?
Nimeshaanza kujua. Hata tukimpata Rais bora kuliko wote hatutokaa tuendelee kama nchi kwa akili za aina hii
Magufuli ana kazi kubwa sana
Huyu anaishi kwa maneno ya kinafiki nafiki kama hajasoma vile. ukimlinganisha huyu na Prof. maji marefu na rahisi kukosea kujua yupi ni msomi kati yao.Usomi wake kalifanyia taifa
Wenye PhD wote ni majizi ya pen si umeona hata kule NSSF dau kapiga Dili kubwa ,naona ndilo neno haswa maana kama Sugu ambaye hajamaliza shule ana kura nyingi kuliko HATA MAPROFESA, kama sugu ambaye hajamaliza shule ana mchango wa haja kuliko Mwenye PHD, kama Sugu ambaye hajamaliza shule anajiopatia riziki yake ya halali kuliko Mwenye PHD fisadi
lazima awashangaeWenye PhD wote ni majizi ya pen si umeona hata kule NSSF dau kapiga Dili kubwa ,
Profesa maji marefu ana Akili kuliko Profeselii Mwakyembe, Yaani huyo babu Mwakyembe kwa sasa ni sawa na yule Profeselii wa Olijino comedy.Huyu anaishi kwa maneno ya kinafiki nafiki kama hajasoma vile. ukimlinganisha huyu na Prof. maji marefu na rahisi kukosea kujua yupi ni msomi kati yao.
Magamba wenzako mtaani walishayaongea sana hayo aliyosema Mwakyembe.Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!
Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!
Mbona aliweza kurubuniwa na Div 0 Mbowe aka mr DJ?Dr Slaa naye Taaluma yake huenda ni Feki maana kwa mtu anayejinadi ni msomi asingeweza kurubuniwa na Div 4 Nape na Div zero January makamba akaukacha upinzani kwa visingizio vya kufundishwa na Mwakyembe mmiliki wa PhD feki.
Sugu kaandika nin?
Kamtumbua lowasa na Richmond yakeUsomi wake kalifanyia taifa