duh ! kumbe wana CCM siyo Watanzania
umechelewa sana kugundua..huyu ni msanii aliyefuzu.sielewi elewi hawa akina mwakyembe. Sasa kama amegundua ccm haifai kwanini bado yumo kwenye chama?
Mara atafte public sympath, mara aseme hivi mara vile nilikuwa namkubari sana siku za nyuma lakini sasa simuamini amini nimeanza kupima kwa makini kauli zake maana haeleweki eleweki.
anacho ng'ang'ania c.c.m kitu gani?aondoke ajiunge na CDM.uhai ni bora kuliko huo uwaziri anao ung'ang'ania huko magamba
Mwakyembe apimwe akili nina wasiwasi sana na akili zake baada ya kutoka hospital.
akihutubia maelfu ya watu kyela, dr. Harrison mwakyembe kasema yeye ni Mtanzania sio CCM na akaongeze awale wanao jisifia kwamba wao ni CCM wanajidanganya kwani hakuna CCM bila taifa".
Kitu cha ajabu ni kwamba katika mkutano huo amewakaribisha hata viongozi wa chadema. Kiongozi wa CHADEMA ambaye amepata nafasi ya kuongea kasema;
Anayoyapigania Mwakyembe ndiyo CHADEMA tunapigania, sisi chadema tunapambana na ufisadi katika nchi hii kama Mwakyembe afanyavyo. Mungu amlinde Mwakyembe.
Source: ITV 20:00 leo
Taifa linamhitaji mwakyembe kuliko wakati wowote ili walivushe vinginevyo mafisadi watalimaliza,hongera kwa kuwakaribisha CDM kwani wote falsafa ni moja ya kutokomeza ufisadi na mafisadi wenyewe,Mh.tunakuombea upone kabisa ili mafisadi wauone moto wako,tunajua wanavyokuhujumu lakini tuko pamoja na wewe mpaka kieleweke.