kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,800
- 694
Anavua kofia na gloves kwani hao wananchi ni madaktari ?
ingependeza hiyo picha akiwa hana kofia ikawa posted hapa.
Anavua kofia na gloves kwani hao wananchi ni madaktari ?
Mwakyembe hajaathirika na sumu. Hebu acheni majungu. Nashangaa sana mheshimiwa waziri anatembelea Kyela kisiasa wakati ana kazi ofisini, kwani yupo leave?

Njaa ndugu yangu anajua akikosa huo Ubunge tena, hana uhakika na 2015, na hiyo hali yake itakuwaje? Ila huyu jamaa ni mnafiki na wa kutupa pamoja na Sitta.sasa kwa hali yake ilivo anaweza tena kuendelea vizuri na kazi za uwaziri?? kwa nini asiwe mzalendo akaachia hiyo nafasi ili apate muda waa kupumzika na kucheki zaidi afya yake!!yaani wapiga kura wake wanamwona huruma na kutaka kujua kilichompata mbunge wao yeye anasema waache majungu??acha afe na kamba shingoni!!