Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

wachangiaji wengi humu mmenisikitisha sana km ndo mawazo yetu watz haya itatuchukua karne nzima kupata maendeleo. Mm nilidhani tungemuunga mkono mwakyembe kwa kuwafukuza wezi hao wala rushwa wakubwa wanaotuchafua mpaka mataifa mengine. Pia Dr Mwakyembe anao ushahidi wa video uliopatikana CCTV kwa maana kwamba hata huyo wanaesema ni mstaafu ameonekana kwenye video akifanya vitendo vya wizi na rushwa. Na kwann watu wanashangaa mstaafu kufukuzwa kazi? kwan mliambiwa mtu akistaafu ndo mwisho wake wa kufanya kazi? watu so wanaajiriwa kwa mkataba? na km alikuwa huyo mstaafu hana mkataba pale uwanja wa ndege alikuwa anafanya nn? Nan aliyekuwa kamuweka pale? maanake ushahidi wa video upo. Mi nadhani waziri kamani ndo mkurupukaji na anaonekana hajafurahishwa na maamuzi ya Dr Mwakyembe na sijui ni kwa interest zipi. Tunahitaji viongozi wanaochukua hatua kwa wahalifu km mwakyembe na sio kuwalea. waziri kamani ameonyesha udhaifu mkubwa na wala mpenda maendeleo hawezi kumuunga mkono isipokuwa wala rushwa na waficha wezi. Halafu mwakyembe amewafukuza kazi airport na kuwarudisha kwenye wizara zao sio kwamba amewafuta kazi serikalini. so its up to them kuwachukulia hatua au kuendelea kuwalea ila airport hawatakiwi kutia pua zao.

umeongea jambo la maana sana ndg kuna watu humu utawagundua kabisa kuwa hawana uwezo wa kufikir bali wanachangia kishabiki na kinafiki.
Nmeskitika sana kumtukana na kumkejeli mwakyembe kwa suala hili.
Hii nchi haina watu wenye upembuzi wa mawazo wengi wao ni mazuzu tu
 
Hawa mawaziri wapo wizara mbili tofauti. Waziri hana nguvu ya kisheria kumfukuza mwajiriwa wa wizara sembuse asiye wa wizara yake? Pale airport kuna watumishi wapo under wizaya ya maendeleo ya mifugo na uvuvi (zoosanitary), wizara ya ulinzi, wizara ya mambo ya ndani, wizara ya uchukuzi na wizara ya mawasiliano so t best Mwakyembe anachoweza kufanya ni ku-recommend kwa wizara husika wafanyakazi Fulani waondolewe airport.
 
Kwa hiyo huyu waziri ameshindwa kuongea na mwakyembe kujua ilikuaje mstaafu akawa anaendelea kuonekana yupo kazini?
 
Mwakyembe ni waziri mzigo, mkutupukaji, mbabaishaji.

Hana lolote kazi kuropoka tu, hana lolote alilolifanya kwenye hiyo wizara zaidi ya majungu na fitina.

Ukabila unamamaliza.

ATC mpaka sasa ndege moj ya kukodi, tren ya mabibo to posta.?

Eti mchapakazi?

Kakalia majungu bandari inakufa, ACT ipo ICU.

Hakuna anachojua zaidi ya kulia lia kwenye media kwa kutaka sifa za kijinga

Ni dhahiri kabisa kuchomekwa kwa jina la mstaafu ni njama za mafisadi kutaka kudhohofisha jitihada za Mwakyembe. Hupaswi kulalamika wakati mwenzako anajaribu kufanya kitu kusaidia hali mbaya iliyotawala kwenye ule uwanja. Unapaswa kulaani watu wanaotaka kumuhujumu!
 
Kama mtu amestaafu halafu Jina lake bado lipo na anajulikana ni Mtumishi wa Umma bado mnasema Mwakyembe amekurupuka??? kama wizara yake inakula salary yake kimya kimya nani anajua?? au mnajifanya hamuijui hii nchi??
 
Hata Kama Kweli Mwakyembe kakosea ..KULIKUWA na haja gani ya waziri Kamani kuongea HADHARANI bila kuongea wenyewe kwa Siri ....hata Kama kakosea bado Waziri Mwakyembe anabaki na haki ya kuchukua hatua kwa kuwa wafanyakazi husika ...wamekuwa posted uwanja wa ndege na kuna AGIZO la Rais la kusafisha vitendo Vya RUSHWA ,aibu ,Madawa ya kulevya pale uwanjani ..Sasa Kama waziri anataka kuendelea kuwatumia wafanyakazi wake wa wizara ya Kilimo walioko pale ...Njia rahisi angewapangia tu sehemu nyingine mbali na uwanja wa ndege au Bandarini
Kwanini nae alienda kwenye media na kisema nimemfukuza fulani na flani, why asiwaandikie barua tu ya kuwafukuza na kuja kwenye media kusema idada yao tu bila kitaja majina?

Hala lolote Mwekyembe mkuropokaji mtumiq media kujipendekeza
 
Naweka rekodi sawa "Mwakyembe hajawafukuza kazi wale watumishi ila wamewatoa pale airport na kuwataka kurudi kwenye wizara zao na kama vipi wachukuliwe hatua stahiki huko"
 
Mwakyembe hana ubavu na vita hii...zaidi anazidi kupoteza reputation yake

Sio mtu makini ; yote hiyo ni kutafuta sifa tu!! Aliwafukuza kazi watu pale JNIA bila kosa kwenye lile sakata la Masogange na sijui kama wale jamaa hawakumshitaki mahakamani kwa wrongful dismissal?
 
Mkuu usilitazame suala hili juu juu, lazima kuwa analytical.

Inakuwaje mfanyakazi aliyestaafu anaendelea kufanya kazi na zaidi anajiongezea ulaji kwa rushwa.
Hii ni big scandal.

Maafisa utawala Uchukuzi na Wizara aliyotoka lazima wawajibike kwa hili.
Hapo airprt panaweza kuwa na mamluki, siye hatuna habari!

Heko Mwakyembe kwa kutibua maji.

well said
 
Sio mtu makini ; yote hiyo ni kutafuta sifa tu!! Aliwafukuza kazi watu pale JNIA bila kosa kwenye lile sakata la Masogange na sijui kama wale jamaa hawakumshitaki mahakamani kwa wrongful dismissal?

Kwa fikra hizi tz itatuchukua mda mrefu sana kufikia maendeleo stahiki.
 
Ni mtu ambaye hana akili tu atakayesema Dr mwakyembe hana akili. Ila kwa akili za kibinadamu hujiona anazo akili maana hata chizi hujiona ana akili kabisa. Nasema tena nitakuwa wa mwisho limuona dr mwakyembe hana akili.
 
Mwakyembe ni waziri mzigo, mkutupukaji, mbabaishaji.

Hana lolote kazi kuropoka tu, hana lolote alilolifanya kwenye hiyo wizara zaidi ya majungu na fitina.

Ukabila unamamaliza.

ATC mpaka sasa ndege moj ya kukodi, tren ya mabibo to posta.?

Eti mchapakazi?

Kakalia majungu bandari inakufa, ACT ipo ICU.

Hakuna anachojua zaidi ya kulia lia kwenye media kwa kutaka sifa za kijinga

Ukisema hajafanya lolote unakosea, je wajua mapato ya tra bandarini baada ya mwakyembe kuichukua bandari yamepanda kwa kiasi gani? Usiendeshwe na hisia zaidi kuliko uhalisia. Isiwe tu ilimradi mtu atukanwe na kuchafuliwa, hajafikia kufanya vizur sana ila ktk wizara yake anajitahidi na kila mtu analiona. Akifanya vema tumpe pongez na akikosea pia sio tu kila kitu kiwe negative tu. Ina maaana hamuoni rushwa ilivyoshamir uwanja wa ndege? Sasa jamaa anathubutu nyie mnamponda? Sijui mna maana gani?
 
Hivi unaweza kuthubutu kusema Dr. Tena anadhamana ya umma na serikali pia kwamba hana akili? Kwl vijana mmechanganikiwa na siasa zenu za majitaka.
 
ni shida sana kumpa mnyakyusa madaraka ....yani mwakyembe yeye ni full kukurupuka ....siju hata u DR alipataje?
 
Ni lazma muwe analytical kwny issue km hii inayoleta utata,ni vema tujiulize kwn mpk sasa nchi yetu inawafanyakazi wastaafu na imeathiri kwa kiwango gani taifa hili na nn kifanyike sasa?
 
Thnk Big! Pia huna uwezo wa kuhoji udr. Kwny jambo km hili ambalo watz waliowengi wanalipongeza jambo hili,acha ushabiki ni lazma uthbitishe alipokurupuka na ujue hao wafanykz wanaendaje kwke,issue inaonesha dhahili wizara ya kilimo itawajibika kukaa na wafanykz waliostaafu.
 
Tunakupongeza sn Dr. Mwakymbe kwa harakati zko za kupambana na ufisadi,tunatambua vita kubwa uliyonayo ndani na nje. Sikuzote muuza utumbo hakwepi nzi. Keep it up!
 
Mwakyembe ni waziri mzigo, mkutupukaji, mbabaishaji.

Hana lolote kazi kuropoka tu, hana lolote alilolifanya kwenye hiyo wizara zaidi ya majungu na fitina.

Ukabila unamamaliza.

ATC mpaka sasa ndege moj ya kukodi, tren ya mabibo to posta.?

Eti mchapakazi?

Kakalia majungu bandari inakufa, ACT ipo ICU.

Hakuna anachojua zaidi ya kulia lia kwenye media kwa kutaka sifa za kijinga
Dah kama mwakyembe naye mzigo basi hii nchi tunaitaji Robot wakufanya hizi kazi dah.
 
Back
Top Bottom