Mwakyembe amechoka, apumzishwe!

Huyu Mwakyembe sindo alichukua fomu kuwania tiket ya kugombea urasi?....aisee angetuzidishia mzigo watanzania maana huu tulionao si haba
 
Umeanza vizuri,umemaliza hovyo kwa kuingiza issue ya bashite ! Hiyo ni vita Kati ya wauza unga Na RC wa DSM. Na wewe umo niniii?
 
Dr. Mwakyembe amefanya haya.
LISU ASIWE MGOMBEA WA TLS...AKASHINDWA.
AKATAKA KAFUTA CHAMA WA WANASHERIA TANGANYIKA...AM
ESHINDWA.
AKATAKA UCHAGUZI WA TLS UAIRISHWE AKASHINDWA.
AKAPELEKA KESI MAHAKAMANI KUBADILI VIFUNGU VYA TLS...AKASHINDWA.
AKATAKA WATU WASIOE BILA VYETI VYA KUZALIWA...AKASHINDWA...
HUYU NDIO WAZIRI WETU SHERIA NA KATIBA.
 
amebaki anatapatapa ule ugonjwa wa kubabuka ngozi na nywele so mzuri aiser
 
Tusisingizie kuwa kaagizwa na boss wake, tell your boss this is impossible. Akikomaa resign. Only that
Kinyume na hapo ni kumbulia aibu kuu
 
Ingekua mbele huko angekua kesha peleka barua ya kuresign.
 
Huyu ni bongolala siku zote sijui hata hiyo Phd kama aliipata kihalali. Amekuwa ba arguments na decisions A kitoto siku zote. Angalia hata suala la Richmond kama kiongozi wa tume alilaswa kushirikisha parties zote ipasavyo wakati wa probbing lakini alikurupuka na kutia findings zenye taswira ya chuki za kitoto na kimbulula. Chama anawezaje kufuta wakati uanzishwaji wake ni wa utaratibu wa wanachama uliofuatwa na kutambulika kisheria. Zero brain. Shame upon him!!! Mbulula
 
Nilikuwa nina imani sana na mwakyembe lakini kwa mambo haya nimemshusha thamani kabisa. Ni bora ajiuzuru tu maana si kwa aibu hii.
 
Hebu niambie hilo kwenye red amefanya lini na wapi?
 
Moja wapo ya sharti la mtu kufunga ndoa ni lazima umri uwe umetimia miaka 18, ni kitu gani kitatujulisha umri wa mtarajiwa kama siyo cheti cha kuzaliwa? (Kumbuka pia tupo kwenye mchakato wa kutokomeza ndoa za utotoni) mi naona swala la cheti cha kuzaliwa haliepukiki kama siyo leo, kesho. Alichokosea mwakyembe ni kupiga marufuku bila kutoa muda wa maandalizi hususani kwa watu ambao wamesha andikisha kufunga ndoa na mda wa tukio umekaribia kama siyo kufika , maana mchakato wa kupata cheti cha kuzaliwa siyo wa siku moja na Kuna baadhi ya sehemu inaenda hadi mwezi, lakini pia kuwa na cheti cha kuzaliwa ni jambo la msingi pia ni haki ya kila raia, nitoe rai kwa viongozi wetu, tabia ya kupingana hadharani ni mbaya sana wanashindwa kuitana pembeni ili watoke na msimamo mmoja, hii tabia ina madhara si kwa mpingwa tu ila pia kwa mpingaji na kwa wasikilizaji
 
Asije akasema watu wasizae bila ndoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwakyembe ni moja ya watu waliokuwa wanakariri ila hawaelewi chochote class.
Ni muda wake sasa kuachia ngazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…