Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Hao wanaolalamika fukuza isije ikiwa kama jairo,safisa wapo watenda kazi kibao mtaani wanazagaa
Hapa hatuongelei siasa au unafiki, simfahamu wala sijawahi kumuona huyu Chizi lakini sifa zake ziko clear kabisa kwa mtu unayejishugulisha kujua mambo. Tatizo wabongo kila kitu unataka utafuniwe na magazeti hujishugulishi kujua undani wake. Biashara ya ndege ni ngumu sana huwezi kumchukua mtu yoyote mtaani ukamwambia aongoze hata awe na elimu kiasi gani, uzoefu ndio unamata na Chizi ni mzoefu. Mwakyembe na Kilango ni wababaishaji tu na watu wa kukurupuka kutaka sifa. Sijaona bajeti ya wizara ya Mwakyembe lakini kama anataka kusaidia shirika atenge fedha za kulipa mafao wafanyakzi ili shirika liwapunguze wabakie wachache wenye uwezo. Ila kwa stahili hii hata kama hiyo hela imetengwa watapunguzwa majembe na kubakia mishipa ambayo ni ndugu zao