Mwakyembe ageukwa

Wabongo bana! Mim aliniuzi sana alipokana kuwataja waiomjulias na kukataza magazete yasizungumzie hiyo insue. Na rafiki yake 6 upo wapi nowday simsikii au kaenda nigeria kutembea kidogo!
samahan naomba ufafanuz
 
Hata hao wanaolalamika walikuwepo hapo ATCL kabla ya Mwakyembe kuwa waziri wamelifanyia nini shirika mpaka wamugeuke.

Longo longo style +majungu+ujanja=wizi wizi
 
Hayajui adha tunayopata tukiulizwa huku ughaibuni. Mfano, unaulizwa unatokea wapi? Najibu: Tanzania, swali lingine: Mna kampuni gani ya ndege? hapo ndiyo unaanza kuchukia uwepo wako pale, najibu: Aaahh eeeeeh mara ooooh, tunashirikiana na Kenya airways, mara Precision kumbe nako ni wizi mtupu hakafiki popote zaidi ya kuwapelekea abiria Kenyaairways. Ujanja ujanja mwingi kila kona nchi hii.

hahahahaaa,,,,,pole sana mdau,,,so u mean PRECISION huwa inafaulisha abiria kama coaster za dar-moro???au isuzu journey zinazotoka ifakara kuja moro,,,,,,
 
Hata hao wanaolalamika walikuwepo hapo ATCL kabla ya Mwakyembe kuwa waziri wamelifanyia nini shirika mpaka wamugeuke.

Longo longo style +majungu+ujanja=wizi wizi

huu ni utamaduni MPYA ambao umerithiwa na watawala wetu kutoka kusikojulikana
 
ukiacha sababu aliyotoa Mwakyembe hivi bwana Chizi ana kosa gani? Kapewa atcl ipo taabani ...mi naamini ni zengwe! Time ll tell
 
Alizuia magazeti yasizungumzie swala la ugojwa wake.

Kweli hii mada jamaa hajaiweka vizuri, haiko kisiasa ukiangalia iko Kiudaku. Sasa nimeelewa ni nini anamaanisha baada ya kusoma gazeti
 
Du mwacheni Mzee wa ukurutu afanye kazi yake

kiongozi! Hujafa hujaumbika,wakati wake umepita ingawa umemuacha na majeruhi,Mungu yu mwema aliye mponya ndio atakaye mrudishia mwili wake salama na wanafiki,maadui wake wote mtabaki na mshangao.
 
ukiacha sababu aliyotoa Mwakyembe hivi bwana Chizi ana kosa gani? Kapewa atcl ipo taabani ...mi naamini ni zengwe! Time ll tell

naamini MAMLAKA YA JUU INAHUSILA,,,,maana mwakyembe hawez kukurupuka jaman,,,mfano suala la Ekerege,Chami alisema hakua na mamlaka ya kumtoa,,,je kigoda kapata wapi????
 
Alizuia magazeti yasizungumzie swala la ugojwa wake.

Kweli hii mada jamaa hajaiweka vizuri, haiko kisiasa ukiangalia iko Kiudaku. Sasa nimeelewa ni nini anamaanisha baada ya kusoma gazeti

nifafanulie mdau
 
Hili ndilo tatizo la kuendesha ATCL kisiasa!!!!! Maneno tuuu bila kazi inayoonekana.... Eti Kaimu wa Kaimu wa Mkurugenzi!!!! wapi na wapi...Mkurugenzi Mr D.Matakka (kaa pembeni upishe uchunguzi juu yako) then Kaimu wa Mkurugenzi Mr W.Hajji (nawe kaa pembeni upishe uchunguzi wa tuhuma juu yako) OK then Kaimu wa Kaimu Mkurugenzi Mr P. Chizi (nawe umesimamishwa kupisha uchunguzi) sasaaaaaa
 
Back
Top Bottom