Mwaka unakatika amejenga km 7 tu za barabara

Mwaka unakatika amejenga km 7 tu za barabara

Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha

1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km

Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
Mwaka unakaribia kuisha Umefanya nini kwa Taifa lako na Familia yako???
 
Barabara ya mwanza imesimama muda mrefu kidogo!!!!
 
Eti Tanzania ya viwanda. My foot! Labda viwanda vya kutengeneza uwongo na mabomu ya machozi. Nchi haina umeme wa uhakika, wala maji ya kutosha. Hivi viwanda vitatumia hewa tu kuendeshwa.
 
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha

1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km

Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
Mkuu hata hizi hazijajengwa, ni plan tu, hasa hii ya Mwanza
 
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha

1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km

Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
Kwa hiyo kwako wewe miradi ni barabara tu pole!!!!!
 
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha

1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km

Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]

Baada ya miezi 9 ndani ya ofisi JK alikua kajenga kilometa ngapi?
 
Awamu ya nne kipindi kama hilo UDOM ilikuwa inaelea kukamilika, mabarabara ya mkapa yanamaliziwa yaanzwe ya Jk mwenyewe! Mashule ya kata yalikuwa yamepamba moto! Nchi ilikuwa inakimbia kweli kweli

Mhe. amebobea kwenye uuzaji wa nyumba za serikali ameshasema atauza majengo yote ya serikali ya Dar..kipao mbele chake ni wananchi kuishi kama shetani!!!!
 
Kipindi hicho Lowassa akiwa Pm....huyu Kasimu hata haeleweki anasimamia nini?
haahaaa bwana Kassim aka mzee wa kutoa siku tatu..Tokea serikali ile mweleka kwenye sakata la sukari siku hizi kawa bardiiiiiii
 
Unafahamu mwaka wa serikari au unasoma tu nyakati kama ulivyo zoea kusoma?
 
1. Bilioni 18 hazijabadilisha mfumo wa elimu kufanya uwe bora hapa Afrika Mashariki na wala haziwasaidii waalimu kuondokana na mazingira magumu.
2. Ndege zilizoagizwa hazitafufua shirika sababu mfumo wa kuliendesha ni ule ule usiokidhi viwango, na pia uchumi unadidimia kwa kasi hivyo haya ni mazingira hatari kuendesha shirika la ndege.
3. Hivi katika flyovers unaweza kweli ukaizungumzia ya Tazara? Wanaosafiri kati ya mjini na uwanja wa ndege peke yao ndiyo watakaokwepa foleni pale lakini wengine wote ni mwendo wa traffic lights; sasa itasaidia nini kimsingi?
4. Reli ya kati haijaanza kujengwa hivyo siwezi kuizungumzia.
5. Leo mwaka 2016 hupaswi kumuuliza mwenzako kama amejenga choo cha shimo; haya ndiyo mawazo tunayotakiwa kuondokana nayo kwa kwenda shule. Leo unatakiwa uwaze juu ya vyoo vya kisasa vinginevyo utamuuliza kama pia amechimba shimo la taka wakati nayo hiyo ni akili ya enzi za mababu.
vipi billion 18 zinasoenda mashuleni kila mwezi, ndege zilizoagizwa, flyover inayojengwa
tazara, pesa zilizotengwa kwa ujenzi wa reli standard gauge au umeamka na viroba jomba, by the way wewe mwaka unaisha umejenga hata choo cha shimo? au kazi kuzungusha mikono kijiweni
 
ikitokea mtukufu akafail basi na chama ndo kitakufa kabisa
 
Pia amerudisha nidhamu katika Utumishi wa Umma.. Na Kuna ndege mbili zinakuja.. Kuokoa Fedha za Utumishi wa Umma si jambo dogo
Shabbash! Nidhamu katika utumishi wa umma? Huko kuna crisis tu ndugu yangu. Nenda ofisi za umma siku hizi saa 9-9.30 ndio utajua umuhimu wa incentive katika utendaji wa kazi.
 
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha

1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km

Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
Kuna na hii barabara mpya inayojengwa ambayo haifahamiki inakokwenda inayoitwa MAJIPU .
 
Back
Top Bottom