Mwaka unakatika amejenga km 7 tu za barabara

Mwaka unakatika amejenga km 7 tu za barabara

Kazi ya kujenga barabara JK alijitahidi sana ,JPM vipaumbele vyake ni reli na Air Tanzania
Kikwete aliongea tu. Utekelezaji ni jambo lingine.

Jpm anatekeleza. Kumbuka kwamba, miradi kibao ilisimama mwaka Jana. But now, iko hewani

Magufuri noma aisee.
 
Awamu ya nne kipindi kama hilo UDOM ilikuwa inaelea kukamilika, mabarabara ya mkapa yanamaliziwa yaanzwe ya Jk mwenyewe! Mashule ya kata yalikuwa yamepamba moto! Nchi ilikuwa inakimbia kweli kweli
Ile ilikuwa speed ya Mmasai wa Monduli isingekuwa ile ajali ya Richmond Leo hii tungekuwa tunakimbizana na Ethiopia kimaendeleo na kimiradi, Kenya wasingetugusa Kamwe, mana nchi ingekuwa na wasomi wakutosha wa kisasa katika kila Kada na Eneo, Miradi ingekamilika kwa wakati,nadhani ila kasi yako ilikuwa ya aina yake,Jk mwenyewe alishindwa kwenda nayo.
 
Back
Top Bottom