shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,322
mhh na flyover bad
Wafanyakazi hawazidi million 1.5, ukaguzi unafanyika miezi mitano, hata kama huna akili hili nalo hulioni!kuna mengine ya muhimu kuliko hizo barabara, kwanza tunasafisha wafanyakazi hewa halafu tunasafisha upinzani uchwara.
Kumbuka kwamba, miradi kibao ilisimama mwaka Jana. But now, iko hewani
.
Zungumza na airport DodomaMwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha
1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km
Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
kama hela zilikuwa za jk kwa nini alizitumia!!!hizo barabara za morocco na ghana basi angeziacha.Ndugu, kwanza jifunze mwaka wa fedha unaanza lini. Magufuli mwaka wake umeanza July mwaka huu. Kuanzia December hadi June alikuwa anatumia hela iliyo kwenye budget ya Kikwete. Kama barabara tuanze kuangalia amejenga nini kuanzia July hadi sasa. Acha kulalama tuuuu. Kwanza hiyo barabara ya Morocco unayoona ndo pekee kajenga kumbuka kwamba hizo hela zingeliwa na wajanja wachache siku ya sherehe za uhuru kwani tayari zilikuwa zishatengwa na serikali ya JK.
vipi billion 18 zinasoenda mashuleni kila mwezi, ndege zilizoagizwa, flyover inayojengwa tazara, pesa zilizotengwa kwa ujenzi wa reli standard gauge au umeamka na viroba jomba, by the way wewe mwaka unaisha umejenga hata choo cha shimo? au kazi kuzungusha mikono kijiweniMwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha
1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km
Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
alafu nasikia den la taifa limepanda zaidiwatu bana, msipende kuandika ujinga...watu hawana uzalendo. Mwaka umeisha ndiyo, wewe unawaza barabara! husemi watumish hewa!? husemi reli, husemi elimu bure, husemi madawati. Acheni roho ya kwanini. Tumuunge mkono Rais wetu ana dhamira ya dhati watanzania.
Tuambie nawewe kwa hoja amewafanyia nini watu wa Tanzania mpaka sasa?Duh mshindwe na mkakati wenu wa kumsema mh raisi vibaya. Kama wewe hauoni alichofanya mpaka sasa ni kwako. Kila mtu anaona. God bless our president Magufuli. Tunakuombea raisi wetu.
7x5=35Kikwete aliongea tu. Utekelezaji ni jambo lingine.
Jpm anatekeleza. Kumbuka kwamba, miradi kibao ilisimama mwaka Jana. But now, iko hewani
Magufuri noma aisee.
tutasema nini?Mtasema sana tu maana mmeishiwa yakusema
kama hayo maneno kayasema mzee wa upako,nakubaliana nae asilimia 100,wamejaa viburi na wanafanya kazi kwa kukomoa wakijidanganya kuwa wanarekebisha,unarekebisha mambo ya nyuma badala ya kuanza na unapoanzia wewe.Tuambie nawewe kwa hoja amewafanyia nini watu wa Tanzania mpaka sasa?
wenye busara wanasema kabla mambo hayajafika mbali tukaharibikiwa kabisa, sasa tukae kimya mpaka tuingie shimoni ndio mjue mambo sio sawa? Kuweni wazalendo kwa kukubali kukosolewa kwa faida ya wote. Mambo yakituwia magumu wahanga wakubwa ni walala hoi huko lumumba na ikulu hantahusika maana hamjui mtu kukosa kula ama kula mlo mmoja kwa siku kukoje so ili kuheshimiana angalau sikilizeni watu ndio maana mzee wa upako kasema mna viburi wakati hamjui kuongoza watu majivuno tuu yamewajaa.
Tunaondoa pia wasio na sifa za kusomea degree uchwarakuna mengine ya muhimu kuliko hizo barabara, kwanza tunasafisha wafanyakazi hewa halafu tunasafisha upinzani uchwara.
Chadema tuliwatuma mabadiliko ,wametuletea maandamano.Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha
1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km
Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha
1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km
Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12][/Nadhanii utembei sana uone sababu mimi kwangu lami hadi mlangoni sasa hivi ndo wanamaliza mitaro