fanyeni kazi bana acheni blah blah blahNani ameacha kufanya kazi? Mko wengi sana siku hizi kila mara Magu akikosolewa tu mmoja wenu anaibuka "fanyeni kazi"; kazi gani unafanya wewe labda ambazo wengine umeona hawafanyi?
Wako busy daily domo as if kesho itakuja kwa kushindana kuongea na kuleta mada hapa Jffanyeni kazi bana acheni blah blah blah
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha
1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km
Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
Na hii ndiyo Tanzania ya viwanda.
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha
1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km
Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
Hii miradi ni mipango ya kikwete. Tunataka JPM aanzishe miradi mipya mikubwa kama madaraja vyuo vikuu n.k wakati wa JK tulishuhudia vyuo kama Udom , Nelson Mandela , daraja la Kigamboni na mengine mingi mipya.Na barabara za Arusha ya kutoka Sakina hadi Tengeru yenye urefu wa 14.1 km na nyingine ya kutoka Tengeru hadi Holili Kenya yenye urefu wa 234.3 km mbona umezisahau? Au nazo zina urefu wa 7 km?
Ama kweli shukrani ya punda ni mateke.
Hatuhitaji viji-maendeleo uchwara vya kikabila, huku kwetu tunajenga kwa pesa za halmashauri zetu wenyewe.Sishabikii huu uongozi bt kibudget ndyo tupo mwanzo kabisa.
Maendeleo yanaanzia Chato ambapo alipata kura za kutosha uko kwingne subrni kwanza si mlijifanya wajanja kubania vikura vyenu.
Nenda chato ukaangalie maendeleo ya mwendokas.
hujajibu umebwabwaja haya wahi ufipa ukafipaliwe1. Bilioni 18 hazijabadilisha mfumo wa elimu kufanya uwe bora hapa Afrika Mashariki na wala haziwasaidii waalimu kuondokana na mazingira magumu.
2. Ndege zilizoagizwa hazitafufua shirika sababu mfumo wa kuliendesha ni ule ule usiokidhi viwango, na pia uchumi unadidimia kwa kasi hivyo haya ni mazingira hatari kuendesha shirika la ndege.
3. Hivi katika flyovers unaweza kweli ukaizungumzia ya Tazara? Wanaosafiri kati ya mjini na uwanja wa ndege peke yao ndiyo watakaokwepa foleni pale lakini wengine wote ni mwendo wa traffic lights; sasa itasaidia nini kimsingi?
4. Reli ya kati haijaanza kujengwa hivyo siwezi kuizungumzia.
5. Leo mwaka 2016 hupaswi kumuuliza mwenzako kama amejenga choo cha shimo; haya ndiyo mawazo tunayotakiwa kuondokana nayo kwa kwenda shule. Leo unatakiwa uwaze juu ya vyoo vya kisasa vinginevyo utamuuliza kama pia amechimba shimo la taka wakati nayo hiyo ni akili ya enzi za mababu.
Viwanda vitoke wapi? Eti Tanzania ya viwanda inakuja! Mbavu zao. Hapa ni full uchwara.Tuntemeke sanga hakuwa brain locked kihivyo na hakutoa sifa ambazo mtu hana.Muda wake utaisha hata kiwanda kimoja hamtakiona.
Sembuse pipi, hakuna hata kiwanda cha kutengeneza chelewa za kutungia mishikaki.Mwaka unaisha tanzania ya viwanda haina hata msingi unaojengwa kwa ajili ya kiwanda cha pipi
Duh hongeren. Mpo washington DC eeehHatuhitaji viji-maendeleo uchwara vya kikabila, huku kwetu tunajenga kwa pesa za halmashauri zetu wenyewe.
Huku kwetu tulishaendelea tangu mwaka 1956.tuna maji safi na salama, umeme, barabara bora, uwanja wa ndege wa kimataifa, shule za sekondari na vyuo vikuu, hospitali kubwa za rufaa, zahanati, huduma za bora mawasiliano, mbuga za wanyama za kimataifa nk.
Jibu wewe basi au unaonaje?hujajibu umebwabwaja haya wahi ufipa ukafipaliwe
hiyo ni miradi ya jk, kuanzia mafinga hadi igawa.Nenda Iringa ukaone kinachoendelea. Wakandarasi watatu wamepewa barabara moja ya urefu usiozidi kilimota 200. Wanashindana muda sio mrefu hatutashuhudia mabasi ya majingasi yakiuwa watu kwasababu ya mashimo na wakandarasi wanasema hela ipo sio kama zamani unakopwa tu mpaka imekuwa kazi kuwalipa maana madeni ni makubwa. Umezoea kila siku kuamka manzese hujui huko kwingine.
Atakipataje wakati hata misingi hajaweka! Kufanya kitu kikubwa ni lazima uwe focused and determined.yeye anapambana tu na wapinzani.hata cha kusindika senene?
Wewe unacheza na janja ya wabongo, hiyo miezi mitano na bado kuna wengine wanaendeleza kula hiyo mishahara. Tatizo lenu hamjui ugumu wa kumtawala mbongo.Wafanyakazi hawazidi million 1.5, ukaguzi unafanyika miezi mitano, hata kama huna akili hili nalo hulioni!