Mwaka unakatika amejenga km 7 tu za barabara

Mwaka unakatika amejenga km 7 tu za barabara

Hii miradi ni mipango ya kikwete. Tunataka JPM aanzishe miradi mipya mikubwa kama madaraja vyuo vikuu n.k wakati wa JK tulishuhudia vyuo kama Udom , Nelson Mandela , daraja la Kigamboni na mengine mingi mipya.
Umepita lini Tazara? Kazi inaendelea kiongozi...tunaongea mega projects kama unavyotaka.
 
Hivi mnavyohesabu siku, Massa na miezi kwa raisi huwa mnahesabu vivyo hovyo hata kwa wabunge wenu? Kwani ilani ya CCM imempa km ngapi kwa mda gani na work plan yake ikoje nyie mlioweza kuonyeshwa
Miaka mitano itaisha bado mnapambana na lissu ambaye hata hivyo hamtomuweza .
 
huyu jamaa ananikera xan kwanz anapenda kuwadharau viongoz waliopta et hapa kaz tu,kaz gan mbon hatuon au kujenga chato pekee ndo kaz yke kiukweli bora kila mkoa tujitegemee tuwe na rais wetu
 
Awamu ya nne kipindi kama hilo UDOM ilikuwa inaelea kukamilika, mabarabara ya mkapa yanamaliziwa yaanzwe ya Jk mwenyewe! Mashule ya kata yalikuwa yamepamba moto! Nchi ilikuwa inakimbia kweli kweli
Acha uongo! Mpaka mwezi wa 12 mwaka 2007, hakukuwa na jengo lolote jipya kwa ajili ya UDOM. Jengo lililokuwa kikitumika ni Chimwaga la CCM.
 
Tuntemeke sanga hakuwa brain locked kihivyo na hakutoa sifa ambazo mtu hana.Muda wake utaisha hata kiwanda kimoja hamtakiona.
Na ikiwa viwanda vitajengwa,utatafuta kigezo gani tena kukashifu? Hii nchi INA RAIA was ajabu sana!
 
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara na hazijaisha.

1. Mwenge - Morocco 4km
2. Uwanja wa Ndege 2.7 km

Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. Bado miaka 4.[emoji12]
ukapimwe akili wewe uliza toka bajeti ilivopita ina mda gani nac kuiza barabara.
 
watu bana, msipende kuandika ujinga...watu hawana uzalendo. Mwaka umeisha ndiyo, wewe unawaza barabara! husemi watumish hewa!? husemi reli, husemi elimu bure, husemi madawati. Acheni roho ya kwanini. Tumuunge mkono Rais wetu ana dhamira ya dhati watanzania.
Reli ipi ?!
 
Duh mshindwe na mkakati wenu wa kumsema mh raisi vibaya. Kama wewe hauoni alichofanya mpaka sasa ni kwako. Kila mtu anaona. God bless our president Magufuli. Tunakuombea raisi wetu.
teuzi zimeisha bro shtuka
 
Back
Top Bottom