Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,082
well said my MentorMungu wangu huko hewani inaelekea wapi? Tuombe Mungu isije kuishia hukohuko kama ndege ya Malaysia
well said my MentorMungu wangu huko hewani inaelekea wapi? Tuombe Mungu isije kuishia hukohuko kama ndege ya Malaysia
Mkuu wangu jana nilisikia waziri wa viwanda akijibaragua kuwa sasa senene wanauzwa mpaka kwenye supermarkets za UK na US....nilibaki mdomo wazi..hata cha kusindika senene?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha serikali inajenga viwanda vya kusindika senene!!!Mkuu wangu jana nilisikia waziri wa viwanda akijibaragua kuwa sasa senene wanauzwa mpaka kwenye supermarkets za UK na US....nilibaki mdomo wazi..
[emoji81] [emoji81] [emoji81]Mungu wangu huko hewani inaelekea wapi? Tuombe Mungu isije kuishia hukohuko kama ndege ya Malaysia
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha
1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km
Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
Mwezi wa 9 huu karibia mwaka unaisha, awamu ya tano imejenga km 7 tuu za barabara Nazi hazijaisha
1. Mwenge - Morocco 4km
2. Ghana uwanja was ndenge 2.7 km
Hii ndio miradi pekee mipya ya barabara chini ya awamu ya mwendokasi. bado miaka 4.[emoji12]
Kipindi hicho Lowassa akiwa Pm....huyu Kasimu hata haeleweki anasimamia nini?Awamu ya nne kipindi kama hilo UDOM ilikuwa inaelea kukamilika, mabarabara ya mkapa yanamaliziwa yaanzwe ya Jk mwenyewe! Mashule ya kata yalikuwa yamepamba moto! Nchi ilikuwa inakimbia kweli kweli
Wizara ya barabara ilikuwa ya nani?Nasikia kulikuwa na madeni mengi mno kuhusina na ujenzi wa barabara na Mkuu ameyalipa karibia yaishe.
haya miezi mitatu kafanya nini?? haaaaaaNdugu, kwanza jifunze mwaka wa fedha unaanza lini. Magufuli mwaka wake umeanza July mwaka huu. Kuanzia December hadi June alikuwa anatumia hela iliyo kwenye budget ya Kikwete. Kama barabara tuanze kuangalia amejenga nini kuanzia July hadi sasa. Acha kulalama tuuuu. Kwanza hiyo barabara ya Morocco unayoona ndo pekee kajenga kumbuka kwamba hizo hela zingeliwa na wajanja wachache siku ya sherehe za uhuru kwani tayari zilikuwa zishatengwa na serikali ya JK.
Na wewe umeifanyia nini Serikali? Tuache akili mgando.haya miezi mitatu kafanya nini?? haaaaaa
Na hii ndiyo Tanzania ya viwanda.