namwakalima
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 458
- 260
Hata JPM akiondoka,mtasema Maneno hayahaya kwa Rais ajaye.Awamu ya nne kipindi kama hilo UDOM ilikuwa inaelea kukamilika, mabarabara ya mkapa yanamaliziwa yaanzwe ya Jk mwenyewe! Mashule ya kata yalikuwa yamepamba moto! Nchi ilikuwa inakimbia kweli kweli