mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Let's face it. CCM wenyewe hawawezi kuongoza. Kwa kifupi ni hakuna anayeweza kuiongoza Tanzania kwa sasa. Kama yupo mtajeni tumchambue hapa. Hili linchi linajiendesha lenyewe tu.
Ati "NAWASIKILIZA" unaushahidi? Any way mimi tayari em ngoja tuone maoni ya makapera sugu humu.
Eti mimi si ndio kaka yenu bana, kwahiyo ni lazima niwaulize.
Kama wewe ni mdada, mwaka ndio huo unaisha una mipango gani juu ya kuolewa? maana siku zinavyozidi kwenda na umri unazidi kusogea? (wale wanachuo au wanafunzi haiwahusu nyie someni kwanza mmalize)
Kama wewe ni kaka una mipango gani ya kuoa maana na wewe umri wa kuoa umeshafika una kila kitu. umejiajiri, kuajiriwa, kipato kizuri, mshahara mzuri, biashara zako zinaendelea vizuri kwa ufupi maisha ni mazuri. sasa unasubiri nini? au unataka mpaka upigiwe kengele?( hapa wale wenye kukaa home au chumba kimoja na sitting room haiwahusu ninyi jipangeni kwanza)
eenhe!! sasa niambieni kaka yenu mmipango yenu juu ya hilo jambo. NAWASIKILIZA!!!
mpango haupo
ya kweli hayo masai dada na yule jamaa yako anasemaje? hana mpango?
kwanini haupo?
kaka mkubwa mbona unazeeka vibaya?yaani unazeeka huku unapoteza kumbukumbu?umeshasahau kwamba nimeshaoa?
nakukaribisah mwezi wa 12 harusi yangu
Hiyo quotation ya comment ya NN na CCM inatafuta nini huku MMU?
mpaka mtakapo jielewa
Umri wa kuoa na kuolewa ndio umri upi huo?
Umri wa kuowa ni upi na umri wa kuolewa ni upi? Na je kuowa au kuolewa ni lazima?
Nitarudi.