naweza nikasema hakuna umri maalum wa kuoa. ila kwa binti itakuwa vizuri pale atakapo maliza masomo yake. na kwa mwanaume vilevile atakapo maliza masomo yake na akishajijenga vya kutosha basi ni vizuri kuoa. kitu kingine ni pindi kijana wa kike au wa kuime akionesha kujitambua kikamilifu kiakili.
ndo maana nikasema umenifananisha
sisi kwetu tuna ngombe 500
ukinioa baba angu atakupa ngombe mia
uzajenga hiyo ghorofa
achaa weeeee toto la kimasai hilo!!!
basi ngoja turewind. mkanda wetu, make bado kidooogo nikuoe atiiii
Hebu tujaribu kutafana tuone kama tunaweza ku negotiate kukamilisha dili
mpango haupo
Eti mimi si ndio kaka yenu bana, kwahiyo ni lazima niwaulize.
Kama wewe ni mdada, mwaka ndio huo unaisha una mipango gani juu ya kuolewa? maana siku zinavyozidi kwenda na umri unazidi kusogea? (wale wanachuo au wanafunzi haiwahusu nyie someni kwanza mmalize)
Kama wewe ni kaka una mipango gani ya kuoa maana na wewe umri wa kuoa umeshafika una kila kitu. umejiajiri, kuajiriwa, kipato kizuri, mshahara mzuri, biashara zako zinaendelea vizuri kwa ufupi maisha ni mazuri.
sasa unasubiri nini? au unataka mpaka upigiwe kengele?( hapa wale wenye kukaa home au chumba kimoja na sitting room haiwahusu ninyi jipangeni kwanza)
eenhe!! sasa niambieni kaka yenu mmipango yenu juu ya hilo jambo. NAWASIKILIZA!!!
Kaka mimi ninae ila nikimuambia suala la kuoa anapotea kabisa hata wiki ndio anarudi
Kama alivyosema mdau,mwambie no sex before marriage,uone kama hajaharakisha mchakato.Kaka mimi ninae ila nikimuambia suala la kuoa anapotea kabisa hata wiki ndio anarudi
Kaka mimi ninae ila nikimuambia suala la kuoa anapotea kabisa hata wiki ndio anarudi
Ni dharau kwa sababu watu wengi mjini wana bedrom na Sitting room tu ndio mahitaji yao, mtu yupo mwenyewe nyumba nzima ya nini?
Umekosea.
labda tuanze na wewe mtoa mada kwanza mutant gene
upo sawa leo mkuu??