Mwaka ndio unaisha, tuongee kikubwa

Mwaka ndio unaisha, tuongee kikubwa

unapewa na shamba la kufugia

sasa ole wako uwe na mchepuko
utacharangwa mapanga kama nyama ya mshikaki

Hahahaaa afu nilivo mkulima, tutalimaje mama WA watoto masai@dada!!!
Kuhusu mimi kuchepuka hilo halitatokea kwa sababu Mungu wng ninamwogopa kuliko mwanadam!!!
Ila ukichepuka ww, kitachokupataaa.....ohooooo....Mimi cmooooo...
 
Last edited by a moderator:
........dah!!!!!

yaani ni mipango ya kuoa na kuolewa tu???
hamna mipango mingine?
 
Hahahaaa afu nilivo mkulima, tutalimaje mama WA watoto masai@dada!!!
Kuhusu mimi kuchepuka hilo halitatokea kwa sababu Mungu wng ninamwogopa kuliko mwanadam!!!
Ila ukichepuka ww, kitachokupataaa.....ohooooo....Mimi cmooooo...

nitakuheshimu na kukulinda
 
Last edited by a moderator:
i dont know what the future holds for me...i dont want to give my self high hopes or expectations but i am excited!
 
Back
Top Bottom