Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,797
mpango haupo
utakufa na utamu wako lol!!!
mpango haupo
Mkuu acha dharau...chumba kimoja na sitting rum unaona kidogo...??? U must have problems
Mkuu acha dharau...chumba kimoja na sitting rum unaona kidogo...??? U must have problems
sioni kama ni dharau, ila kama nimekukwaza basi samahani
Eti mimi si ndio kaka yenu bana, kwahiyo ni lazima niwaulize.
Kama wewe ni mdada, mwaka ndio huo unaisha una mipango gani juu ya kuolewa? maana siku zinavyozidi kwenda na umri unazidi kusogea? (wale wanachuo au wanafunzi haiwahusu nyie someni kwanza mmalize)
Kama wewe ni kaka una mipango gani ya kuoa maana na wewe umri wa kuoa umeshafika una kila kitu. umejiajiri, kuajiriwa, kipato kizuri, mshahara mzuri, biashara zako zinaendelea vizuri kwa ufupi maisha ni mazuri. sasa unasubiri nini? au unataka mpaka upigiwe kengele?( hapa wale wenye kukaa home au chumba kimoja na sitting room haiwahusu ninyi jipangeni kwanza)
eenhe!! sasa niambieni kaka yenu mmipango yenu juu ya hilo jambo. NAWASIKILIZA!!!
utakufa na utamu wako lol!!!
Acha nife nao tu
Ndio nimeolewa
Ni dharau kwa sababu watu wengi mjini wana bedrom na Sitting room tu ndio mahitaji yao, mtu yupo mwenyewe nyumba nzima ya nini?
Umekosea.
una umri gani?we ni mwanafunzi?
Usinambie ndo picha za harusi kwenye avatar
Yap ndo yenyewe hiyo
Duh inaonekana unamapenzi tele tele....
eeenh wataufaidi nyenyere uko chini!!!! ulichopewa bure kumnyima mwenzio dhambi
ya kweli hayo masai dada na yule jamaa yako anasemaje? hana mpango?
Hiyo quotation ya comment ya NN na CCM inatafuta nini huku MMU?
mpango haupo