Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,493
Mimi huu mwaka hata sisherehekei. Mwaka mpya wangu ni tarehe 3.march kwani ndo nilizaliwa hiyo tarehe.
ha haaa mkuu umenifurahisha sana! Huoni km kusherehekea march 3 ni kusherehekea kitu kilekile? Maana yake unaukubali huo mpangilio. Unachofahamu wewe huu mpangilio ni wa ki-dini au ki-serikali?Mimi huu mwaka hata sisherehekei. Mwaka mpya wangu ni tarehe 3.march kwani ndo nilizaliwa hiyo tarehe.
jibu sahihi kabisa..
heri ya mwaka mpya mkuu..
Unachotakiwa kuelewa ni kuwa hakuna kitu cha serikali (by nature). Serikali zimetohoa ustaarabu kwenye jamii zilizostaarabika ktk jambo husika. Hata sheria nyingi za nchi ni zile Mungu alizompa Musa kwa Torati.Ndugu wanabodi,naomba msaada kwa wanaofahamu juu ya huu mwaka mpya ambao huwa tunausherehekea kila tar.01januari. Pia km kuna anayejua chanzo chake. Km kuna mwenye kujua hasa mpangilio mzima ambao ndo unatumika kila mahali,wa masaa,wiki,miezi na miaka. Ulibuniwa wapi na nani? Nawasilisha.
mkuu nadhani umenitafsiri tofauti,hivi kujua kwamba ni wa kidini au wa kiserikali nao huo ni udini? Nimetoka kusoma sasa hivi huko ktk calendar ya glorian ambako kuna majibu ya namna alivyokokotoa na kufanikisha huu mpangilio baada ya kuzipiku calendar zilizokuwepo. Hakuna maelezo yanayoonyesha km ni wa kidini ama kiserikali ingawa mwanzilishi alikuwa papa wa kanisa katoliki.[/QU
"Nimetoka kusoma sasa hivi huko ktk
calendar ya glorian ambako kuna majibu ya
namna alivyokokotoa na kufanikisha huu
mpangilio baada ya kuzipiku calendar"
Naona umeingia chaka, hebu soma ulichoandika (nimequote hapo juu) then, kalinganishe na ulichoambiwa usome, ndipo urejee kujadili hoja, otherwise tunajadili babeli hapa
mkuu nadhani umenitafsiri tofauti,hivi kujua kwamba ni wa kidini au wa kiserikali nao huo ni udini? Nimetoka kusoma sasa hivi huko ktk calendar ya glorian ambako kuna majibu ya namna alivyokokotoa na kufanikisha huu mpangilio baada ya kuzipiku calendar zilizokuwepo. Hakuna maelezo yanayoonyesha km ni wa kidini ama kiserikali ingawa mwanzilishi alikuwa papa wa kanisa katoliki.[/QU
"Nimetoka kusoma sasa hivi huko ktk
calendar ya glorian ambako kuna majibu ya
namna alivyokokotoa na kufanikisha huu
mpangilio baada ya kuzipiku calendar"
Naona umeingia chaka, hebu soma ulichoandika the, kalinganisha na ulichoambiwa usome, ndipo urejee kujadili hoja, otherwise tunajadili babeli hapa
Nadhani hapa umeandika mapovu ya ajabu sana!
AKIANZISHACHO Anaejiita Muwakilishi wa yesu hapa dunia BASI LZM KIHUSIANE NA HIO IMANI YAKE!
Hebu soma maandiko yako halafu regebisha kabla watu wengi hawajasoma!
Usije kuaibika bure!
mkuu nadhani umenitafsiri tofauti,hivi kujua kwamba ni wa kidini au wa kiserikali nao huo ni udini? Nimetoka kusoma sasa hivi huko ktk calendar ya glorian ambako kuna majibu ya namna alivyokokotoa na kufanikisha huu mpangilio baada ya kuzipiku calendar zilizokuwepo. Hakuna maelezo yanayoonyesha km ni wa kidini ama kiserikali ingawa mwanzilishi alikuwa papa wa kanisa katoliki.
Nadhani hapa umeandika mapovu ya ajabu sana!
AKIANZISHACHO Anaejiita Muwakilishi wa yesu hapa dunia BASI LZM KIHUSIANE NA HIO IMANI YAKE!
Hebu soma maandiko yako halafu regebisha kabla watu wengi hawajasoma!
Usije kuaibika bure!
Gregorian calendar na glorian calenda wapi na wapi
ngungwangunwa nilikuonya kuregebisha maandiko yako kabla watu nuksi hawajaona!Sasa wewe umeelekezwa Gregorian calendar ukaenda kwenye hiyo red, sijui nani alikuelekeza huko. Ndo maana umekosa majibu mkuu.
Umemalizaa!!!! Hilo ndo linaitwa Kanisa Takatifu moja la Mitune.....
Sasa ni saa 22:49pm.......2013
Na mimi nasema Amen! matumbo kala kiporo cha kitimoto jana!
Anahara ovyo!
WAKRISTO wasijisifu kuwa wana kalenda yao!
Haya majina yoote ya miezi tulionayo kuanzia January mpaka December NI MAJINA YA miungu wa KIPAGANI.
Sasa niulize ushahidi uonekane udhaifu wa elimu yako!
Na mimi naendelea kuomba hio dua.
Huoni maofisi karibu 98% yanapambwa kusherehekea kuzaliwa yesu? Sie tushaumia wagalatia wameshika hatamu
Sredi yako imedisplay time ya kikristu.
Saa, simu, computa yako pia inadisplay time yetu.
Leo ni sikukuu yetu. Kilichobaki ni kukubatiza tu.
Sredi yako imedisplay time ya kikristu.
Saa, simu, computa yako pia inadisplay time yetu.
Leo ni sikukuu yetu. Kilichobaki ni kukubatiza tu.