mahakama ya kazi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 1,520
- 245
niwa diniNdugu wanabodi,naomba msaada kwa wanaofahamu juu ya huu mwaka mpya ambao huwa tunausherehekea kila tar.01januari. Pia km kuna anayejua chanzo chake. Km kuna mwenye kujua hasa mpangilio mzima ambao ndo unatumika kila mahali,wa masaa,wiki,miezi na miaka. Ulibuniwa wapi na nani? Nawasilisha.