Mwaka mpya ni mwaka wa kidini au wa kiserikali..!?

Mwaka mpya ni mwaka wa kidini au wa kiserikali..!?

Dini yenu ni imekucha maaalumu kuupinga ukristu, sio kueneza uislam.
Ni ka baadhi ya viongozi kuihubiri cdm.

Usichanganyikiwe kijana!
Sisi hatuna haja ya KUPINGA chochote!
Kazi yetu ni KUONYESHA YALIO BATILI NA ULE UPOTOFU WA KUMUABUDU MUNGU WA KWELI!

Miaka yoote mmekuwa.mkigonga milango yetu na kutwambia kuwa mungu ni mzungu!
Na sisi tulikaa kimya miaka yoote ile tukitegemea MTANYAMAZA!
LKN WAPI!!
Sasa tukiendelea kunyamaza MTAPOTEZA WENGI MNO! NA HII DUNIA ITAKUWA SEHEMU CHAFU SANA YA KUISHI!
We si unaona ndoa za kiliberali zilivyojaa makanisani!
Sasa tunyamaze mtujazie balaa mitaani pia!?
Hatta siku moja!
Tutaeleza Jamii KIPI KILICHO CHA HAKI!
Na ule UDANGANYIFU WA KUSEMA DHAMBI ZA WATU WOTE KAZIBEBA YESU LZM TUWAONYESHA NA TUWAAMBIE WATU KUWA. HUO NI UONGO!!
Kila mtu ATAHUKUMIWA kwa dhambi ZAKE MWENYEWE!
 
Basibasibasi.. turudi kwenye mada kuu
 
Ndugu wanabodi,naomba msaada kwa wanaofahamu juu ya huu mwaka mpya ambao huwa tunausherehekea kila tar.01januari. Pia km kuna anayejua chanzo chake. Km kuna mwenye kujua hasa mpangilio mzima ambao ndo unatumika kila mahali,wa masaa,wiki,miezi na miaka. Ulibuniwa wapi na nani? Nawasilisha.

mkuu historia ya mwaka mpya ni pagan worship kwa miungu ya kirumi. mi nimefanyia utafiti na huo ndo ukweli. hata Israel sikukuu ya mwaka mpya haipo ni siku ya kazi, wao wanasema ingekuwa hiyo iku haijawa dedicated kwenye miungu hata wao wangesherehekea kwanza neno January asili yake ni mungu wa mwanzo mpya na mwisho wa wakati fulani na mungu waliekuwa wanamuabudu baada ya kuisha vita na wanaanza mwanzo mpya anaitwa mungu Janu
 
Mwambie mkuu,hapo hakuna ujanja,wachna walijifanya kujua lkn mwisho wa ck wamekubali,jana rais wao alitoa speach ya kuwatakia mwaka mpya mwema.,
Hao woote huenda wanatakwimu zao....Lakini ifikapa saa 0:00 am 2014....Huko kote ulikotaja watasherehekea mwaka mpya.....Mwaka wa Kirumi...Upo..
 
km majibu yapo hapo,ina maana unakiri kuwa mwaka mpya ni wa kidini siyo!?
Gregorian calendar ndio inayokubalika kama ya kimataifa kwa jinsi ilivyokua na msingi mzuri wa kisayansi. Ilipoanza kutumika ilikadiria kama ni miaka 500 kwa kalenda hiyo baada ya kuzaliwa yesu ndipo ikaendeleza hesabu kuanzia hapo i.e mwaka wa 501 na kuendelea. google 'gregorian calendar' utapata taarifa sahihi.
 
Mtoa uzi anataka kujua mwaka uliza na hii nguruwe ni najisi kwa wengine lakini haohao wanakula mbogamboa na matunda yaliyostawishwa na mbolea ya hii kitu upo?
 
Kuna watu wangetaka kubadili historia iwe kama wanavyotaka wao, hilo haliwezekani unaweza kujibadili wewe ili uendane na hiustoria uliyoikuta
 
mkuu historia ya mwaka mpya ni pagan worship kwa miungu ya kirumi. mi nimefanyia utafiti na huo ndo ukweli. hata Israel sikukuu ya mwaka mpya haipo ni siku ya kazi, wao wanasema ingekuwa hiyo iku haijawa dedicated kwenye miungu hata wao wangesherehekea kwanza neno January asili yake ni mungu wa mwanzo mpya na mwisho wa wakati fulani na mungu waliekuwa wanamuabudu baada ya kuisha vita na wanaanza mwanzo mpya anaitwa mungu Janu
mkuu unamaanisha huu mwaka ni wa kipagani siyo!?
 
mkuu unamaanisha huu mwaka ni wa kipagani siyo!?

mi simaanishi hivyo ila mfumo mzima wa kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya chanzo chake ni ibada za kipagani sawa na michezo ya olympic kwani Olympous ni miongoni mwa miungu ya kigiriki na huyu mungu olympous alkikuwa anaabudiwa wakati wa mavuno. soma Greek mythology utaona
 
Nimekusoma mkuu.
 
mkuu nadhani umenitafsiri tofauti,hivi kujua kwamba ni wa kidini au wa kiserikali nao huo ni udini? Nimetoka kusoma sasa hivi huko ktk calendar ya glorian ambako kuna majibu ya namna alivyokokotoa na kufanikisha huu mpangilio baada ya kuzipiku calendar zilizokuwepo. Hakuna maelezo yanayoonyesha km ni wa kidini ama kiserikali ingawa mwanzilishi alikuwa papa wa kanisa katoliki.[/QU

"Nimetoka kusoma sasa hivi huko ktk
calendar ya gregorian ambako kuna majibu ya
namna alivyokokotoa na kufanikisha huu
mpangilio baada ya kuzipiku calendar"

Naona umeingia chaka, hebu soma ulichoandika (nimequote hapo juu) then, kalinganishe na ulichoambiwa usome, ndipo urejee kujadili hoja, otherwise tunajadili babeli hapa
ha haa haaa..! Ahsante sana mkuu kwa kunisahihisha,ni makosa ya ku-type. Nime-hariri hiyo sehemu.
 
mkuu tatizo natumia simu ku-post. Simu yenyewe mchina Tecno T605. Ningekuwa na uwezo ningekuwekea link. Lkn unaweza ku-google mwenyewe. Roman calendar. Hata ukisoma Glorian calendar utaona km alifanya marejeo tu ktk kalenda zilizokuwepo kabla na yeye akaongeza ubunifu. Kwa sehemu kubwa alitumia mpangilio wa JULIAN CALENDAR,ROMAN CALENDAR na CHINESE CALENDAR. Kinachonipa shida mimi ni jinsi huu mpangilio wa sasa uliobuniwa na Papa Glorian X111,ulivyokubalika Duniani ukilinganisha na calendar zingine!

Hakuna Calender ya Glorian wala hakuna Papa Glorian....
 
mkuu historia ya mwaka mpya ni pagan worship kwa miungu ya kirumi. mi nimefanyia utafiti na huo ndo ukweli. hata Israel sikukuu ya mwaka mpya haipo ni siku ya kazi, wao wanasema ingekuwa hiyo iku haijawa dedicated kwenye miungu hata wao wangesherehekea kwanza neno January asili yake ni mungu wa mwanzo mpya na mwisho wa wakati fulani na mungu waliekuwa wanamuabudu baada ya kuisha vita na wanaanza mwanzo mpya anaitwa mungu Janu

Usiwe kama chang.udoa pori wewe mwehu.....Unarukaruka kama mtetea anayetaka kutaga wakati jana ulirukaruka usiku wa saa sita kusherehekea mwaka mpya.....Toa unafiki mbafu kabisaaa...

Hiyo simu au laptop yako inasoma tarehe ngapi....? Unajifanya Jan sijui majina ya Kipagani wakati leo umetuma txt zaidi ya 100 ku-wish watu Happy New Year.....Mbulula kabisa....

Unasema umefanya utafiti wako binafsi...Haya tupe altrenative ya majina ya calender sio unaongea vapour hapa...Mbafu kabisaaa.......

Hiyo ndiyo kalender ya Kirumi aliyoitengeneza Papa Gregory.... Hutaki nenda kaishi Mars halafu anzisha kalender yako au ukishindwa kunywa sumu ufilie mbali... Mbafu kabisaa..
 
Kuna watu wangetaka kubadili historia iwe kama wanavyotaka wao, hilo haliwezekani unaweza kujibadili wewe ili uendane na hiustoria uliyoikuta

Waende Marsa wakaanzishe Kalenda yao...Dunia ni ya Warumi(Wagalatia)
 
mkuu unamaanisha huu mwaka ni wa kipagani siyo!?

Sio mwaka huu kuanzia ilipoitwa 01.01.01......

Kama unataka kuanzisha kalenda yako nenda Mars.....Unaleta porojo wakati hata umri wa bibi yako mzaa baba huujui....Una laana kali sana wewe..
 
mi simaanishi hivyo ila mfumo mzima wa kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya chanzo chake ni ibada za kipagani sawa na michezo ya olympic kwani Olympous ni miongoni mwa miungu ya kigiriki na huyu mungu olympous alkikuwa anaabudiwa wakati wa mavuno. soma Greek mythology utaona

Tatizi mnaongea kama mazuzu mwisho wasiku hamuwezi kufanya lolote wala kubadilisha chochote....Uzuzu wa namna gani huu...?
 
Usiwe kama chang.udoa pori wewe mwehu.....Unarukaruka kama mtetea anayetaka kutaga wakati jana ulirukaruka usiku wa saa sita kusherehekea mwaka mpya.....Toa unafiki mbafu kabisaaa...

Hiyo simu au laptop yako inasoma tarehe ngapi....? Unajifanya Jan sijui majina ya Kipagani wakati leo umetuma txt zaidi ya 100 ku-wish watu Happy New Year.....Mbulula kabisa....

Unasema umefanya utafiti wako binafsi...Haya tupe altrenative ya majina ya calender sio unaongea vapour hapa...Mbafu kabisaaa.......

Hiyo ndiyo kalender ya Kirumi aliyoitengeneza Papa Gregory.... Hutaki nenda kaishi Mars halafu anzisha kalender yako au ukishindwa kunywa sumu ufilie mbali... Mbafu kabisaa..

mimi sidhani kuna sababu za kugombezana wakati fact ndivyo zilivyo sidhani kama mimi ndo nilianzisha hiyo kitu lakini jamaa kauliza ukweli ameambiwa sasa suala la wewe kukataa au kukubali ni tofauti lakini ukweli jina la mwezi wa kwanza yaani January limetoholewa kwenye jina Janu ambao ni mungu wa kirumi ambaye husheherekewa mwanzo wa mwaka au mwisho wa matukio makubwa kama vita mimi nimjumbe tu nimejibu kama jamaa alivyouliza, nini mwanzo wa sikukuu ya mwaka mpya yaani January mosi, sasa kama unadhani kutokujua asili kutakusaidia kuficha ukweli hilo ni juu yako
 
Tatizi mnaongea kama mazuzu mwisho wasiku hamuwezi kufanya lolote wala kubadilisha chochote....Uzuzu wa namna gani huu...?

History
In Christendom, under which the Gregorian Calendar developed, New Year's Day traditionally marks the Feast of the Circumcision of Christ, which is still observed as such by the Anglican Church and the Lutheran Church.

Mesopotamia ( Iraq ) created the concept of new year celebration 2000 B. C.

The Romans dedicated New Year's Day to Janus, the god of gates, doors, and beginnings for whom the first month of the year (January) is also named. After Julius Caesar reformed the calendar in 46 BC and was subsequently murdered, the Roman Senate voted to deify him on the 1st January 42 BC[6] in honor of his life and his institution of the new rationalized calendar.[7] The month originally owes its name to the deity Janus, who had two faces, one looking forward and the other looking backward. This suggests that New Year's celebrations are founded on pagan traditions. Some have suggested this occurred in 153 BC, when it was stipulated that the two annual consuls (after whose names the years were identified) entered into office on that day, though no consensus exists on the matter.[8] Dates in March, coinciding with the spring equinox, or commemorating the Annunciation of Jesus, along with a variety of Christian feast dates were used throughout the Middle Ages, though calendars often continued to display the months in columns running from January to December.

Among the 7th century pagans of Flanders and the Netherlands, it was the custom to exchange gifts at the New Year. This was a pagan custom deplored by Saint Eligius (died 659 or 660), who warned the Flemings and Dutchmen, "(Do not) make vetulas, [little figures of the Old Woman], little deer or iotticos or set tables [for the house-elf, compare Puck] at night or exchange New Year gifts or supply superfluous drinks [another Yule custom]." The quote is from the vita of Eligius written by his companion, Ouen.

Most countries in Western Europe officially adopted January 1 as New Year's Day somewhat before they adopted the Gregorian calendar. In England, until the adoption of the Gregorian calendar in 1752, the first day of the new year was the Feast of the Annunciation on March 25, also called "Lady Day". The March 25 date was known as Annunciation Style; the January 1 date was known as Circumcision Style because this was the date of the Feast of the Circumcision, considered to be the eighth day of Christ's life, counting from December 25 when his birth is celebrated. This day was christened as the beginning of the New Year by Pope Gregory as he designed the Liturgical Calendar

Source Wikipedia
 
hii ni sherehe ya kuzaliwa mungu wa dini fulani(yesu)na kweli hii kalenda imeanzishwa na watu wa dini hyo ila kwa sababu wanaiambatanisha na miungu yao mengne ndo maana wanaitwa mapagani ndo maana hawa wak.... Wanaitwa mapagani wanakasirika jaman ican say logically hii sikukuu ni ya kidini km sie waislam tunavyosherehekea mwaka mpya wa kiislam kwa kuzidisha ibada wao wanasherehekea kwa kunywa pombe na kuzini ndo maana mwalim wangu kule uingereza prof.charles alisema kwenye press conferrence kwamba din zetu nyengne hz lazma akili iend likizo et mung huyo huyo alikuwepo milele huyo huyo alizaliwa huyo huyo kawekwa msalabani shiit
 
Back
Top Bottom