kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,624
Halafu eti huyu nae ni msomi.hivi nawasioenda ahule wakoje?
Ni kama wewe! Ambao mnaabudu picha ya mzungu mlio nunua dukani!!
Halafu eti huyu nae ni msomi.hivi nawasioenda ahule wakoje?
Magaidi tunawaona hapa.
HESABU 31.
16-Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie Bwana dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hivyo pigo lilikuwa katika mkutano wa Bwana.-
17-Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.-
18-Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu
HAPA TUNAONA UGAIDI NA UBAKAJI WA WATOTO WADOGO WA KIKE WALIO BIKRA.
Watu wa ANDIKO MUNGU AWALAANI KWA UOVU WALIOUFANYA!
Mnfnssssssssssss
Ni kama wewe! Ambao mnaabudu picha ya mzungu mlio nunua dukani!!
nilete posa nikuoe basi, manake mapadri huko ulaya kwenye asili ya ukafiri wenu wanaoana wanaume.
Elimika japo kidogo, tunafuata maandiko na sio matendo ya watu.
Hivi huko kwenu kuna majibu gani?Wakristu siku zote wanawatukana Waislam tena bila hoja kabisa.Nimeandika mara nyingi humu JF kwamba chuki hizi zitatupeleka pabaya.Waislamu wana vitu ambavyo kwao wako tayari kufa kuvitetea.Huu ndio upeo wa juu kabisa wa Waumini.JF imekua leo ndio sehemu pekee ambapo heshima na shakshia ya Mtume wetu(s.a.w.w) inavunjwa bila hata uoga na uongozi wa JF uko kimya kisa yanayoansikwa sio msimamo wa JF.HAKUNA MWISLAM ANAYEMTUKUNA YESU(amani iwe juu yake)."Jitieni nira yangu mjifunze KWANGU......."Wanaotutukana wamejifunA kwa nani?????
Ni mwaka wa kidini/kikristo. Ndio maana huwa kuna kukesha kiibada kanisani. Ila sijajua kama ibada hii ni ya kuzusha au hata Yesu mwenyewe aliwahi kuifanya/kuhimiza ifanyike.
mkuu kwani Surat ubwabwa inasemaje kuhusu hii ishu.??..
Pengine jibu unalo ww maana jina lako laendana na swali!
Tupe dahwa shehe..ushehe sio kufuga madevu,kuvaa malapa machafu,kuvaa baragashia iliyotobokatoboka,,kutembea na ndizi mbivu,kutembea na kiberiti chenye mavi ndani cha kunusa kukumbuka tigo....ushehe ni dahwa ,,lete dahwa shehe wangu...
Kwa kuwa nina akili timamu, siwezi kukukimbiza ww nenda nazo tu hizo nguo. Hahaa
Tupe dahwa shehe..ushehe sio kufuga madevu,kuvaa malapa machafu,kuvaa baragashia iliyotobokatoboka,,kutembea na ndizi mbivu,kutembea na kiberiti chenye mavi ndani cha kunusa kukumbuka tigo....ushehe ni dahwa ,,lete dahwa shehe wangu...
ushapandisha jini maimuna linataka likunwe jicho sasa...al mufirajini finari jehanamu ustaz wangu.
mkuu kwani Surat ubwabwa inasemaje kuhusu hii ishu.??..
mkuu kwani Surat ubwabwa inasemaje kuhusu hii ishu.??..
Mti mwema ndio unaopigwa mawe:
1.hivi ni kwanini unachukua muda mwingi kusoma biblia wakati mim mkristo sijui hata quaran inafananaje?
2.tazama mikutano mikuu kama ya mwakasege,inavyofanyika watu wengi ktk aneo kubwa.na watu wanaimba na kushangilia juu ya yesu wao.hapo hata jina la wenu "marehemu muhamadi" hutalisikia.yenu mikutano ni pale manzese,ubungo na mwenge stedi za daladala. Waudhuriaji sasa ni wale jobless,na vibaka.
3.hivi kwa nini mnashughulika sana na sheria kali kama kupinga ulaji wa nguruwe,lakini ufila.ji ndio mwaongoza mbali ya kuoa wake wengi?
4.kwa nin quran haiko ktk kiswahili. Mnatumia muda mwingi kukaririsha watoto.ni lazima iwe ktk kiarabu.
5.kwanini kuna huhusiano wa moja kwa moja kati ya uislamu na uchawi,majini.hata waganga wengi wa kienyeji ni waislamu.kwa nini?
Majibu tafadhari
KakaJambazi hili swali nikiangalia na jina lako naogopa kutoa jibu!Mkuu kahtaan leo ni siku gani na tarehe ngapi kwa mujibu wa saa/simu/komputa yako?!