Mwaka mpya ni mwaka wa kidini au wa kiserikali..!?

Tatizi mnaongea kama mazuzu mwisho wasiku hamuwezi kufanya lolote wala kubadilisha chochote....Uzuzu wa namna gani huu...?
kwani mkuu na wewe unatumia ile kitu ambayo Dr.slaa amesema cdm wakichukua nchi ataihalalisha!? Maana nakushangaa umejigeuza kuwa silinde..!!
 
Mtoa uzi anataka kujua mwaka uliza na hii nguruwe ni najisi kwa wengine lakini haohao wanakula mbogamboa na matunda yaliyostawishwa na mbolea ya hii kitu upo?
Eti wakuu kahtaan hizi habari zinaukweli wowote, unakula mbogamboga zilizonyew a aka kurutubishwa na kitimoo?! Na ugasa hizi mbogamboga zaweza kuwa na tegu.
Uarabuni kule ulikotokea udini wa itikadi kali umeangusha boooonge la sherehe la mwaka mpya (wa yesu)hadi imeingia kwenye world records.weeeeee haaaaaa.
 
Last edited by a moderator:

Kijana usizidi kuchanganyikiwa!

Januari mpaka December ni MAJINA YA mIUNGU WA KIPAGANI!

Na HII SHEREHE YA MWAKA MPYA NI SHEREHE ZENYE ASILI YA KIPAGANI!
Hivi tuwafundishe mara ngapi??
Na Hao waarabu WAKIFANYACHO KINAHUSIANA NINI NA WAISLAMU!??
We huna habari KUNA WAGALATIA WA KIARABU!? TENA WENGI TU!

Na kuhusu kutumia kinyesi cha nguruwe kuotesha mazao!
Kijana kama uemkwenda shule kidogo Usingeuliza hili swali!

Mtafute mwalimu wa Biology akuelekeze namna mbolea inavyofanya kazi ktk kukuza mazao!!

na kwa kuongezea tu!

Na istoshe hao nguruwe hicho kinyesi chao WANAKULA WENYEWE!
Kwa hio ni vigumu sana kupata kinyesi kingi kwa matumizi ya mbolea!

Na nguruwe ni MNYAMA PEKEE MWENYE KULA MAVI YAKE MWENYEWE!
Na NI MNYAMA PEKEE ANAELIWA AMBAE ANATOKWA DAMU ZA MWEZI KAMA BINAADAMU! (wanawake)

Khaaa ptu!
 
Dini yenu ni imekucha maaalumu kuupinga ukristu, sio kueneza uislam.
Ni ka baadhi ya viongozi kuihubiri cdm.

Ni ya kishetani basi, manake Shetani ndiye mpinga Kristo no. 1! .........
 
Tar1 January ni mwaka mpya kisayansi zaidi thou papa ndio alisimamisha misingi hiyo. Kumbuka catholic walikuwa na nguvu zaidi miaka ya nyuma na sayansi yao Ilikua ya juu kulinganisha na sehemu zingine.

Utake usitake utasherekea tu mwaka mpya January mosi; huoni waarabu huko Dubai wamevunja record kwa kupamba ile tallest building usiku wa mwaka mpya japo mijitu mingine imeletewa dini na inajidai kushika dini akati waliowaletea wanasherekea kama kawa
 
Kijana usizidi kuchanganyikiwa!

Januari mpaka December ni MAJINA YA mIUNGU WA KIPAGANI!

Na HII SHEREHE YA MWAKA MPYA NI SHEREHE ZENYE ASILI YA KIPAGANI!
Hivi tuwafundishe mara ngapi??
Na Hao waarabu WAKIFANYACHO KINAHUSIANA NINI NA WAISLAMU!??
We huna habari KUNA WAGALATIA WA KIARABU!? TENA WENGI TU!

Na kuhusu kutumia kinyesi cha nguruwe kuotesha mazao!
Kijana kama uemkwenda shule kidogo Usingeuliza hili swali!

Mtafute mwalimu wa Biology akuelekeze namna mbolea inavyofanya kazi ktk kukuza mazao!!

na kwa kuongezea tu!

Na istoshe hao nguruwe hicho kinyesi chao WANAKULA WENYEWE!
Kwa hio ni vigumu sana kupata kinyesi kingi kwa matumizi ya mbolea!

Na nguruwe ni MNYAMA PEKEE MWENYE KULA MAVI YAKE MWENYEWE!
Na NI MNYAMA PEKEE ANAELIWA AMBAE ANATOKWA DAMU ZA MWEZI KAMA BINAADAMU! (wanawake)

Khaaa ptu!

wakati we uko madrasa unakariri hadithi zakale, mi nilikuwa nasoma buddy. So baada yakumaliza kula mavi yanayobaki yananyunyiziwa kwa mboga mboga.
N no usitake kusema waarabu wakristo ndo wameandaa ile bash.all in all happy new year!!!!!!!!!!
 
Son! if you prefer your colonial masters tongue, lets dance!!

every time when i show you guys something frm your so called HOLY BOOK! You try to change those nasty and SICK EVIL ACTIONS COMMITTED IN THE NAME OF GOD! TO LOOK GOOD!!

Now LOOK! HERE, WHAT YOUR SOO HOLY BOOK SAYS!! THEN TELL ME THIS IS FROM MADRASA!!

Bible and Cannibalism

Sometimes god of bible forces people to eat other people, often their own children or other family members.

"I also will do this unto you... You shall sow your seed in vain, for your enemies shall eat it." --Leviticus 26:16

"And ye shall eat the flesh of your sons, and the flesh of your daughters shall ye eat." -- Leviticus 26:29

"And thou shalt eat the fruit of thine own body, the flesh of thy sons and of thy daughters." --Deuteronomy 28:53

"And toward her young one that cometh out from between her feet, and toward her children which she shall bear: for she shall eat them." -- Deuteronomy 28:57

"Through the wrath of the LORD of hosts is the land darkened, and the people shall be as the fuel of the fire: no man shall spare his brother. And he shall snatch on the right hand, and be hungry; and he shall eat on the left hand, and they shall not be satisfied: they shall eat every man the flesh of his own arm." -- Isaiah 9:19-20

"And I will feed them that oppress thee with their own flesh; and they shall be drunken with their own blood, as with sweet wine." -- Isaiah 49:26

"And I will cause them to eat the flesh of their sons and the flesh of their daughters, and they shall eat every one the flesh of his friend." -- Jeremiah 19:9

"Therefore the fathers shall eat the sons in the midst of thee, and the sons shall eat their fathers." --Ezekiel 5:10"

I will not feed you: that that dieth, let it die; and that that is to be cut off, let it be cut off; and let the rest eat every one the flesh of another." -- Zechariah 11:9

NOW SHOW ME SOMETHING NASTY LIKE THOSE ABOVE FRM THE PEOPLE OF MADRASA!!

YOU WILL NEVER EVER FIND EVEN HALF OF IT!!

happy pagan year buddy!!
 
Tar1 January ni mwaka mpya kisayansi zaidi thou papa ndio alisimamisha misingi hiyo. Kumbuka catholic walikuwa na nguvu zaidi miaka ya nyuma na sayansi yao Ilikua ya juu kulinganisha na sehemu zingine.

Utake usitake utasherekea tu mwaka mpya January mosi; huoni waarabu huko Dubai wamevunja record kwa kupamba ile tallest building usiku wa mwaka mpya japo mijitu mingine imeletewa dini na inajidai kushika dini akati waliowaletea wanasherekea kama kawa

nilete posa nikuoe basi, manake mapadri huko ulaya kwenye asili ya ukafiri wenu wanaoana wanaume.

Elimika japo kidogo, tunafuata maandiko na sio matendo ya watu.
 
Kuna watu wangetaka kubadili historia iwe kama wanavyotaka wao, hilo haliwezekani unaweza kujibadili wewe ili uendane na hiustoria uliyoikuta

usiwe mtumwa wa fikra.
Hatuangalii historia tu na kuamini, tunaangalia ukweli ni upi na kuufanyia kuufuata.
Historia ya mtu mweusi alikuwa mtumwa, baadae akatawaliwa na mzungu, baadae ,.... mababu zetu wangeendelea kuangalia historia leo tusingekuwa huru.

Kuwa na fikra huru, usiwe mtumwa wa historia.
 
Mwaka Mpya ni mwaka wa dini hususani dini ya kikristo kwa sababu hii miaka inahesabiwa kuanzia alipozaliwa Nabii Issa ( Yesu Kristo). Na suala la saa kuanza saa 6:1 Ucku ni suala la kijiografia kwani linategemea mzunguko wa dunia. Ushauri Wangu kwa Watanzania minor things kama hizi zisitufanye tubaguane kidini kwa sababu vitabu vyetu vya dini havijasema kuwa kushiriki mfumo fulani wa maisha ambao haumkosei Mungu wa jirani yako ni dhambi.

mfumo wa dini gani ambao haujasema hivyo?
Kwanza Unaelewa maana ya mfumo?
Unajua mifumo ya dini zote, au walau ya uislam na ukristu?
 
Son! if you prefer your colonial masters tongue, lets dance!!

every time when i show you guys something frm your so called HOLY BOOK! You try to change those nasty and SICK EVIL ACTIONS COMMITTED IN THE NAME OF GOD! TO LOOK GOOD!!

Now LOOK! HERE, WHAT YOUR SOO HOLY BOOK SAYS!! THEN TELL ME THIS IS FROM MADRASA!!

Bible and Cannibalism

Sometimes god of bible forces people to eat other people, often their own children or other family members.

"I also will do this unto you... You shall sow your seed in vain, for your enemies shall eat it." --Leviticus 26:16

"And ye shall eat the flesh of your sons, and the flesh of your daughters shall ye eat." -- Leviticus 26:29

"And thou shalt eat the fruit of thine own body, the flesh of thy sons and of thy daughters." --Deuteronomy 28:53

"And toward her young one that cometh out from between her feet, and toward her children which she shall bear: for she shall eat them." -- Deuteronomy 28:57

"Through the wrath of the LORD of hosts is the land darkened, and the people shall be as the fuel of the fire: no man shall spare his brother. And he shall snatch on the right hand, and be hungry; and he shall eat on the left hand, and they shall not be satisfied: they shall eat every man the flesh of his own arm." -- Isaiah 9:19-20

"And I will feed them that oppress thee with their own flesh; and they shall be drunken with their own blood, as with sweet wine." -- Isaiah 49:26

"And I will cause them to eat the flesh of their sons and the flesh of their daughters, and they shall eat every one the flesh of his friend." -- Jeremiah 19:9

"Therefore the fathers shall eat the sons in the midst of thee, and the sons shall eat their fathers." --Ezekiel 5:10"

I will not feed you: that that dieth, let it die; and that that is to be cut off, let it be cut off; and let the rest eat every one the flesh of another." -- Zechariah 11:9

NOW SHOW ME SOMETHING NASTY LIKE THOSE ABOVE FRM THE PEOPLE OF MADRASA!!

YOU WILL NEVER EVER FIND EVEN HALF OF IT!!

happy pagan year buddy!!

mbona unaruka ruka! Mambo ya kulana yametoka wapi. Anywho kama tumestuck kwa island, and all i gotta do to survive is to eat your behind, am gonna eat you.
Naaaaaaa happy 2014 years after the birth of MESSIAH JESUS CHRIST.
 
wakati we uko madrasa unakariri hadithi zakale, mi nilikuwa nasoma buddy. So baada yakumaliza kula mavi yanayobaki yananyunyiziwa kwa mboga mboga.
N no usitake kusema waarabu wakristo ndo wameandaa ile bash.all in all happy new year!!!!!!!!!!

mbona unaruka ruka! Mambo ya kulana yametoka wapi. Anywho kama tumestuck kwa island, and all i gotta do to survive is to eat your behind, am gonna eat you.
Naaaaaaa happy 2014 years after the birth of MESSIAH JESUS CHRIST.

Halafu wewe ndio uliekuwa unajisifu kuwa wakati mimi niko madrasa wewe ULIKUWA UNASOMA!! teh teh teh teh!
hata maneno mawili ya lugha ya yule mungu wako YANAKUSHINDA!?!

Unauliza KULANA KUMETOKA WAPI!! KUMETOKA KWENYE HICHO KITABU CHAKO UNACHOKIITA KITAKATIFU!!

Halafu unaleta habari ya kukwama kwenye kisiwa! We KWENYE HAYO MAANDIKO YA WAKRISTO KULA NYAMA ZA WATU NA NYAMA ZA WATOTO WALIOWAZAA WENYEWE KULIFANYIKA VISIWANI!!?

Wewe mtoto sio level yangu kabisa! Kwenda kamuite mchungaji wako aje hapa! wewe nenda kule chitchat kwa kina dada! kule utakutana na hio mipasho kama ya kwako!

Mimi naongea na Wale WENYE KUJUA MAANDIKO YAO!

Na mpaka sasa SIJAPATA HATA MMOJA! Woote nyie AKILI KUAMBIWA! Andiko lenu wenyewe! MKIONYESHWA, MNATOA MIMACHO KAMA VILE MMEONA NYOKA!

You talk GARBAGE!
 
Eti wakuu kahtaan hizi habari zinaukweli wowote, unakula mbogamboga zilizonyew a aka kurutubishwa na kitimoo?! Na ugasa hizi mbogamboga zaweza kuwa na tegu.
Uarabuni kule ulikotokea udini wa itikadi kali umeangusha boooonge la sherehe la mwaka mpya (wa yesu)hadi imeingia kwenye world records.weeeeee haaaaaa.

Miezi itabakii kuwa na asili ya kishetani na cult za kale na ndio kalenda rasmi ya ulaya.
Nchii za kiislam kama saudi na iran wanafata tarehe za kiislam.
Nchii nyengine za kiarabu wanafata both lakini official calenda ni kiislam.
Ama kuhusu sherehe za mwaka mpya araabuni haya sana yanapewa kipaumbele Dubai. Kwani nini wao wanafanya biashara wanaelewa kuna watu wanapenga sherehe hizo so they utilize kwa manufaa yao. Wana target watalii million 15 mwaka 2015.linganisha na wanaokuja kwetu...
 
Vipi wewe upo kundi gani...? Unafuta kalenda ya Mwamedi au ya Kipagani....? Ndo maana nimekuambia unarukaruka hapa lakini mwisho wa siku unatumia THE ONLY AND ONLY ONE CALENDER....(THE GEGORIAN CALAENDER)....Hutaki unaacha....

Juzi usiku kucha umeruka madebe na kunywa pombekusherekea mwaka mpya halafu unakuja kuharisha hapa JF kwa mambo yako ya kijinga....
 
Mkuu acha kuwaomba wahuni wahuni kama awa...wenzako awapatagi majibu ndio maana wanaishia kujilipua.

Hivi huko kwenu kuna majibu gani?Wakristu siku zote wanawatukana Waislam tena bila hoja kabisa.Nimeandika mara nyingi humu JF kwamba chuki hizi zitatupeleka pabaya.Waislamu wana vitu ambavyo kwao wako tayari kufa kuvitetea.Huu ndio upeo wa juu kabisa wa Waumini.JF imekua leo ndio sehemu pekee ambapo heshima na shakshia ya Mtume wetu(s.a.w.w) inavunjwa bila hata uoga na uongozi wa JF uko kimya kisa yanayoansikwa sio msimamo wa JF.HAKUNA MWISLAM ANAYEMTUKUNA YESU(amani iwe juu yake)."Jitieni nira yangu mjifunze KWANGU......."Wanaotutukana wamejifunA kwa nani?????
 
Back
Top Bottom